T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Kumbe humu mtu akitumia lugha ya kigeni na akakosea anakuwa ametenda jinai.
Ndio maendeleo ama hii namna gani
Ndio maendeleo ama hii namna gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningekuwa Mgunda, baada ya ile chance aliyomnyima mpira Chama, ningemtoa mara moja ili iwe fundisho kwake na kwa wachezaji wengine.Mzungu alikuwa sahihi kugombana naye pia mgunda ametuangusha kumweka kanoute nje
Kanoute what wasn't on the bench eitherMzungu alikuwa sahihi kugombana naye pia mgunda ametuangusha kumweka kanoute nje
He got sick shortly before matchKanoute what wasn't on the bench either
Unafikiri Okrah ni Mmatumbi kama wewe. Lengo ni ujumbe ufike kwa Okrah na sio wewe mwenye chuki binafsi na Wazungu wakati hata unayotumia ni ya Mzungu.Acha kutetea ujinga,.. angeandika kiswahili tu. Poor you!
This was our game, we supposed to win.
We can actually blame you for Simba' failure. I say failure cause it was a must-win game. I think the one problem you had was that purely selfish. I can firmly say so.
You played a stunning game and you deserved to be a man of the match. However, you could do better than that.
There's many, many times where you could pick out a good pass, deliver a good cross, and you went for a shot yourself. That's the one area I would say you let Simba down, you were a bit too selfish and other players might looking for you too eagerly.
I recommend to you and the technical team, you are required to stop selfishness.
Kunywa maji ya kutosha, rudi tena usome na ukielewe ulichokiandika hapa.Unafikiri Okrah ni Mmatumbi kama wewe. Lengo ni ujumbe ufike kwa Okrah na sio wewe mwenye chuki binafsi na Wazungu wakati hata unayotumia ni ya Mzungu.
Mkuu,kaa chini uandike vizuriMoja ya watu niliokuwa nawahudu mankusoma michango yao humu jukwaani, kabla ya kufanya maamuzi yabkujiunga, ni wewe.
Kwa uwezo huu, naona imani yangu ilonidanganya.
Siku nyingine uandike tu kiswahili.
This's how a pundit analyses events in a match.Okrah was supposed to pass that ball to his left. His teammate was in a better position to score. He acted selfishly as you attempted to present.
Sometimes we think it's easy for a player to see everything plainly as we see through numerous cameras but let's give the boys a round of applause for their hard work during the game.
Can I also comment on you? Your english needs a lot of adjustment.
rekebisha kiingereza chako you haiendi na was inaenda wereThis was our game, we supposed to win.
We can actually blame you for Simba' failure. I say failure cause it was a must-win game. I think the one problem you had was that purely selfish. I can firmly say so.
You played a stunning game and you deserved to be a man of the match. However, you could do better than that.
There's many, many times where you could pick out a good pass, deliver a good cross, and you went for a shot yourself. That's the one area I would say you let Simba down, you were a bit too selfish and other players might looking for you too eagerly.
I recommend to you and the technical team, you are required to stop selfishness.
This was our game, we supposed to win.
We can actually blame you for Simba' failure. I say failure cause it was a must-win game. I think the one problem you had was that purely selfish. I can firmly say so.
You played a stunning game and you deserved to be a man of the match. However, you could do better than that.
There's many, many times where you could pick out a good pass, deliver a good cross, and you went for a shot yourself. That's the one area I would say you let Simba down, you were a bit too selfish and other players might looking for you too eagerly.
I recommend to you and the technical team, you are required to stop selfishness.
Wapi hapo mkuu unapalalamikiarekebisha kiingereza chako you haiendi na was inaenda were
That is why Mzungu want to beat him.Acha kutetea ujinga,.. angeandika kiswahili tu. Poor you!
Okrah kazingua sana hasa ile chance moja ambayo Chama alikuwa wazi.
Mzungu alikuwa sahihi kugombana naye pia mgunda ametuangusha kumweka kanoute nje
Angeingia nani mkuu. Wakati Putin aliugua ghaflaShida sio mgunda ni matola. Mimi nilivyomuona mkude nikajua Simba wameamua kuitupa hii mechi.
Moja ya watu niliokuwa nawahudu na kusoma michango yao humu jukwaani, kabla ya kufanya maamuzi ya kujiunga, ni wewe.
Kwa uwezo huu, naona imani yangu ilonidanganya.
Siku nyingine uandike tu kiswahili.