Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
Wabunge wa upinzani wakiongozwa na CHADEMA walikuwa wakisusia mara kwa mara vikao vya bunge na kutoka nje.
Hata kipindi cha korona aka COVID19 walisusa wakisingizia wanaenda kujifungia kitu hawakufanya wakaendelea kupiga misele mtaani.
Hata pale shule zilifunguliwa hawakufungia watoto wao ndani bali waliacha waendelee na masomo kama wengine. Ikiwa walisusa bunge na kuamini kujifungia ndio tiba kwanini waruhusu watoto wao kurudi shule.
Ikiwa waliona hakuna umuhimu kujadili bajeti za serikali nini kinawasukuma kurudi bungeni tena na wakaacha kugombea.
Ikiwa wanaona bunge linakiuka misingi wao wanataka waache kugombea ili wasirudi bungeni 2020 na hapo watakuwa wametoka jumlajumla.
Ikiwa kwao kususia bunge na kutoka ndio suluhisho kupata wanachotaka, basi wasirudi bungeni 2020 watoke moja kwa moja kwa kipindi cha miaka 5.
NDUGU MPIGA KURA
NI MUDA MUAFAKA KUWAONDOA KATIKA BUNGE LIJALO WASUSIA BUNGE WA 2015 TO 2020. HAKIKA KURA YAKO ITAWAONDOA MOJA KWA MOJA NA KUKUPATIA MWAKILISHI SAHIHI ASIYESUSA VIKAO VYA UWAKILISHI HATA KATIKA KIPINDI CHA MAJANGA MAKUBWA DUNIANI.
CAHAGUA WABUNGE WA CCM, ACHANA NA WAPINZANI WASUSIA BUNGE.