Oktoba 29 2025; Kuna kijana mpaka leo sijui kama yupo hai

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Yale machafuko ndio maana wanatumia nguvu kubwa kufunika sana ili waonekane wema.

Kuna kijana alipigwa risasi ila hakufa basi jitihada za kumkimbiza hospital zikafanikiwa na kupata huduma ya dharura.

Ilipofika usiku wa saa 5 zilikuja gari zile nyeusi wanazopenda kutumia wakawachukua watu waliopigwa risasi na yeye hapo hospitali lini na kulikuwa na ulinzi ambao si ruhusa hata wauguzi kuuliza. Baada ya ndugu kwenda hospitali wakaambiwa hayupo naongea kwa uchungu mpaka leo.

Ndugu wamezika nguo maana hakuna wa kuwatetea.
 
Manina zenu CCM. Kama Mungu aishivyo mtalipia kwa hii dhulma
 
Yale machafuko ndio maana wanatumia nguvu kubwa kufunika sana ili waonekane wema.

Kuna kijana alipigwa risasi ila hakufa basi jitihada za kumkimbiza hospital zikafanikiwa na kupata huduma ya dharura.

Ilipofika usiku wa saa 5 zilikuja gari zile nyeusi wanazopenda kutumia wakawachukua watu waliopigwa risasi na yeye hapo hospitali lini na kulikuwa na ulinzi ambao si ruhusa hata wauguzi kuuliza. Baada ya ndugu kwenda hospitali wakaambiwa hayupo naongea kwa uchungu mpaka leo.

Ndugu wamezika nguo maana hakuna wa kuwatetea.
Gentleman, unaeleza ukweli au,
nae alikatwa vidole na wale jamaa wa kususa uchaguzi ambao walikua wakiwakata vidole wapiga kura na kuwafuata watu majumbani mwao na kuwalazimisha nao wajitokeze mabarabarani kupiga watu, kupora watu na maduka, kuchoma vituo vya mafuta, kuchoma vituo vya polisi, kuchoma mabenki, kuharibu miundombinu na kuwaua wapiga kura na watoto wao wasio na hatia?

hata pamoja na hayo,
I hope ulimripoti kwenye tume ya Jaji chande right? Au uliamuu kuuchuna tu na kushiriki kupoteza na kudhulumu haki na stahiki zake kwa kukaa kimya kwa makusudi, ili hatimae uje kutafuta kiki na public sympathy humu jukwaani?🐒
 
Ww ni punga.
 
Mkuu, tunaposema suala la oct 29 linahitaji uwajibikaji hatumaanishi choma choma, kukatana vidole ilikuwa sawa, tunamaanisha kuna uwezekano mkubwa wapo askari walitenda kinyume na maadili, maagizo na kinyume na ubinadamu wakati wa udhibiti.

Wakati jeshi linapongezwa kudhibiti ile hali, ungana na wahanga kwenye kuhimiza uwajibikaji kwa waliofanya mambo nje ya ubinadamu. Udhibiti si kichaka cha kufanya mambo nje ya ubinadamu, Ugumu upo wapi?
 
Yale machafuko ndio maana wanatumia nguvu kubwa kufunika sana ili waonekane wema.

Kuna kijana alipigwa risasi ila hakufa basi jitihada za kumkimbiza hospital zikafanikiwa na kupata huduma ya dharura.

Ilipofika usiku wa saa 5 zilikuja gari zile nyeusi wanazopenda kutumia wakawachukua watu waliopigwa risasi na yeye hapo hospitali lini na kulikuwa na ulinzi ambao si ruhusa hata wauguzi kuuliza. Baada ya ndugu kwenda hospitali wakaambiwa hayupo naongea kwa uchungu mpaka leo.

Ndugu wamezika nguo maana hakuna wa kuwatetea.
Maandambo yamefanikiwa
Asante mungu
 
Mkuu, tunaposema suala la oct 29 linahitaji uwajibikaji hatumaanishi choma choma, kukatana vidole ilikuwa sawa, tunamaanisha kuna uwezekano mkubwa wapo askari walitenda kinyume na maadili, maagizo na kinyume na ubinadamu wakati wa udhibiti.

Wakati jeshi linapongezwa kudhibiti ile hali, ungana na wahanga kwenye kuhimiza uwajibikaji kwa waliofanya mambo nje ya ubinadamu. Udhibiti si kichaka cha kufanya mambo nje ya ubinadamu, Ugumu upo wapi?
tayari jambo hilo liko kwenye utekelezaji hivi sasa gentleman.

hapaswi kuonewa mtu kwenye hili, hapaswi kusingiziwa mtu kwenye hili na wala hapaswi kudhulumiwa mtu yeyote yule kwenye hili.

Ni muhimu sana kua wastahilivu na wenye subra wakati ufumbuzi wa kudumu wa haki ya kila anaestahili, ukitafutwa na wataalamu katika tume iliyoko kazini hivi sasa.

Kufanya au kuamua mambo kwa kuchochewa na hisia au mihemko kunaweza kuongeza madhara makubwa na badala ya kutatua changamoto, unaongeza changamoto zaidi.

Hakuna haja ya kua na masikitiko au huzuni za kinafiki hususani kwenye mambo yaliyoleta athari au madhara uliyochangia kuyasababisha wewe mwenyewe kwa maneno, matendo na utashi wako.

ni muhimu kua realistic kidogo 🐒
 
Back
Top Bottom