Manina zenu CCM. Kama Mungu aishivyo mtalipia kwa hii dhulmaYale machafuko ndio maana wanatumia nguvu kubwa kufunika sana ili waonekane wema.
Kuna kijana alipigwa risasi ila hakufa basi jitihada za kumkimbiza hospital zikafanikiwa na kupata huduma ya dharura.
Ilipofika usiku wa saa 5 zilikuja gari zile nyeusi wanazopenda kutumia wakawachukua watu waliopigwa risasi na yeye hapo hospitali lini na kulikuwa na ulinzi ambao si ruhusa hata wauguzi kuuliza. Baada ya ndugu kwenda hospitali wakaambiwa hayupo naongea kwa uchungu mpaka leo.
Ndugu wamezika nguo maana hakuna wa kuwatetea.
Gentleman, unaeleza ukweli au,Yale machafuko ndio maana wanatumia nguvu kubwa kufunika sana ili waonekane wema.
Kuna kijana alipigwa risasi ila hakufa basi jitihada za kumkimbiza hospital zikafanikiwa na kupata huduma ya dharura.
Ilipofika usiku wa saa 5 zilikuja gari zile nyeusi wanazopenda kutumia wakawachukua watu waliopigwa risasi na yeye hapo hospitali lini na kulikuwa na ulinzi ambao si ruhusa hata wauguzi kuuliza. Baada ya ndugu kwenda hospitali wakaambiwa hayupo naongea kwa uchungu mpaka leo.
Ndugu wamezika nguo maana hakuna wa kuwatetea.
Ww ni punga.Gentleman, unaeleza ukweli au,
nae alikatwa vidole na wale jamaa wa kususa uchaguzi ambao walikua wakiwakata vidole wapiga kura na kuwafuata watu majumbani mwao na kuwalazimisha nao wajitokeze mabarabarani kupiga watu, kupora watu na maduka, kuchoma vituo vya mafuta, kuchoma vituo vya polisi, kuchoma mabenki, kuharibu miundombinu na kuwaua wapiga kura na watoto wao wasio na hatia?
hata pamoja na hayo,
I hope ulimripoti kwenye tume ya Jaji chande right? Au uliamuu kuuchuna tu na kushiriki kupoteza na kudhulumu haki na stahiki zake kwa kukaa kimya kwa makusudi, ili hatimae uje kutafuta kiki na public sympathy humu jukwaani?π
jikite kwenye hoja mahususi mezani bila kuweweseka gentleman πWw ni punga.
Huwa unapata furaha gani unavotetea waharifu kwenye hii nchi.jikite kwenye hoja mahususi mezani bila kuweweseka gentleman π
Mkuu, tunaposema suala la oct 29 linahitaji uwajibikaji hatumaanishi choma choma, kukatana vidole ilikuwa sawa, tunamaanisha kuna uwezekano mkubwa wapo askari walitenda kinyume na maadili, maagizo na kinyume na ubinadamu wakati wa udhibiti.Gentleman, unaeleza ukweli au,
nae alikatwa vidole na wale jamaa wa kususa uchaguzi ambao walikua wakiwakata vidole wapiga kura na kuwafuata watu majumbani mwao na kuwalazimisha nao wajitokeze mabarabarani kupiga watu, kupora watu na maduka, kuchoma vituo vya mafuta, kuchoma vituo vya polisi, kuchoma mabenki, kuharibu miundombinu na kuwaua wapiga kura na watoto wao wasio na hatia?
hata pamoja na hayo,
I hope ulimripoti kwenye tume ya Jaji chande right? Au uliamuu kuuchuna tu na kushiriki kupoteza na kudhulumu haki na stahiki zake kwa kukaa kimya kwa makusudi, ili hatimae uje kutafuta kiki na public sympathy humu jukwaani?π
Maandambo yamefanikiwaYale machafuko ndio maana wanatumia nguvu kubwa kufunika sana ili waonekane wema.
Kuna kijana alipigwa risasi ila hakufa basi jitihada za kumkimbiza hospital zikafanikiwa na kupata huduma ya dharura.
Ilipofika usiku wa saa 5 zilikuja gari zile nyeusi wanazopenda kutumia wakawachukua watu waliopigwa risasi na yeye hapo hospitali lini na kulikuwa na ulinzi ambao si ruhusa hata wauguzi kuuliza. Baada ya ndugu kwenda hospitali wakaambiwa hayupo naongea kwa uchungu mpaka leo.
Ndugu wamezika nguo maana hakuna wa kuwatetea.
na mihemko hivyo gentleman,Huwa unapata furaha gani unavotetea waharifu kwenye hii nchi.
tayari jambo hilo liko kwenye utekelezaji hivi sasa gentleman.Mkuu, tunaposema suala la oct 29 linahitaji uwajibikaji hatumaanishi choma choma, kukatana vidole ilikuwa sawa, tunamaanisha kuna uwezekano mkubwa wapo askari walitenda kinyume na maadili, maagizo na kinyume na ubinadamu wakati wa udhibiti.
Wakati jeshi linapongezwa kudhibiti ile hali, ungana na wahanga kwenye kuhimiza uwajibikaji kwa waliofanya mambo nje ya ubinadamu. Udhibiti si kichaka cha kufanya mambo nje ya ubinadamu, Ugumu upo wapi?