PostGE2025 Oktoba 29 yaliyotokea, ni kipi kinawapa wasiwasi?

PostGE2025 Oktoba 29 yaliyotokea, ni kipi kinawapa wasiwasi?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Hii funika kombe mwana haramu ili azidi kupita naona anapita na watu wengi.

Ni nini kinawapa kufunika mpaka kuanza kufunikana wenyewe.

Hapa JF tunaweza kuleta mafumbo ili kufikisha ujumbe.

Ni kwamba kuficha ukweli dunia isijue kuwa ile nchi ambayo kila kiongozi anatanguliza amani ila ukimuuliza hiyo amani ? ,Inabaki kuzungushwa tu porojo kuwa wewe ni muhaini au utakii nchi yako mema.

Kufunika funika sasa tunasubiria mnakuja kufunika kabisa
 
Walioshiriki kubaka uchaguzi wengi tokea tarehe hiyo ukiwaangalia kwa machoni ni kama wanajiogopa.

Wengi wamekuwa na majuto mengi.Jana nilikuwa na mtafuta mwenyekiti wa mtaa naye kawa kama wasanii wa mziki kumpata mpaka uwe muhusika anaye mfahamu sio kama zamani.

Kuna askari mmoja alikuwa mkubwa sitapenda kutaja mkoa ile siku ya tarehee 29 alikuwa anaongoza polisi mauwaji kumbe siku hiyo kili walamba ndugu zake watatu wahandamaji tena wa muhimu.

Kilichofata na yeye alijimaliza maana familia yako utasema nini.

Bado wengine wanaendelea kwa kihoro 😄.
 
wanavuna walichopanda
 
Kuna ma diwani wali shinda uchaguzi Kwa kishindo Ila mpaka sasa hawalali ndani😀😀 sjui Wana ogopa Nini?
 
Back
Top Bottom