Walioshiriki kubaka uchaguzi wengi tokea tarehe hiyo ukiwaangalia kwa machoni ni kama wanajiogopa.
Wengi wamekuwa na majuto mengi.Jana nilikuwa na mtafuta mwenyekiti wa mtaa naye kawa kama wasanii wa mziki kumpata mpaka uwe muhusika anaye mfahamu sio kama zamani.
Kuna askari mmoja alikuwa mkubwa sitapenda kutaja mkoa ile siku ya tarehee 29 alikuwa anaongoza polisi mauwaji kumbe siku hiyo kili walamba ndugu zake watatu wahandamaji tena wa muhimu.
Kilichofata na yeye alijimaliza maana familia yako utasema nini.
Bado wengine wanaendelea kwa kihoro ๐.