Oktoba 7 ni njama za natanyahu

Oktoba 7 ni njama za natanyahu

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
2,977
Reaction score
3,798
Utekaji uliofanywa Oktoba 7 2023 ni njama za natanyahu kuiangamiza palestina.Hebu tujiulize maswali haya:
1.Hivi inaingia akililini kweli kwamba jeshi la mwamba natanyahau,tena likisaidiwa na silaha kali kali kutoka Marekani,na sio hivyo tu,ni jeshi la watoto wa taifa la Mungu,wavamiwe na jeshi la wanamgambo wa ngo ya hamas?
2.Ni kwa vipi hilo jeshi la mwamba natanyahu ambalo limebomoa kila nyumba gaza,mpaka leo limeshindwa kuwakomboa mateka?
3.Ukweli ni kwamba ni natanyahu mwenyewe ndio aliandaa tukio hilo na akalitekeleza na hata hao mateka anao yeye,ili atimize lengo lake ovu la kuiangamiza gaza.Lakini hatafanikiwa
 
Hamas mpaka hii mbungi ilipofikia hawajui waanzie wapi wamalizie wapi!
FB_IMG_1726737726228.jpg

Mzayuni hataki masihara na ukitaka kuamini he means business amesema kuanzia sasa anataka kuona mateka hai tu tena kwa idadi anayoitaka yeye kwa hiyo akisema anataka mateka 70 huku hamas anao 36 kama hajaleta hao 70 basi kichapo cha mbwa koko kitaendelea mpaka awatafute awalete.
 
Ile Oktoba 7 and aftermath Gaza yote ililipuka kwa nderemo na vifijo wakijihisi washindi miongoni mwa washindi.

Tulishauri sana humu, badala ya vicheko walipaswa kuomboleza uhuni ule pengine BWANA angeona toba yao na kughairi alichokuwa amekusudia kukifanya kwa ujinga ule! Walishupaza shingo!
 
Sasa linganisha vifo 1,200 kwa Waisraeli na vifo 42,000 vya wapalestina na hasara ya makazi, shule, misikiti, makanisa, na taasisi mbali mbali kwa wapalestina
 
Sasa linganisha vifo 1,200 kwa Waisraeli na vifo 42,000 vya wapalestina na hasara ya makazi, shule, misikiti, makanisa, na taasisi mbali mbali kwa wapalestina
Ni suala la common sense tu! Wangeitumia ipasavyo ingewasaidia sana.
 
Siku zote omba kuzaliwa na akili ila usiombe kuzaliwa na rangi nyeupe.........waarabu ni weupe lakini akili ni nyeusi.......yaani wanashindwa hata akili ya kujiongoza sasa sijui wanataka waishije........oktoba 7 lilikuwa ni kosa la karne kwao kwa kuruhusu vibaka wachache kuchezea amani yao ya milele ........sasa wanavuna walichopanda ni zamu ya Israel na yenyewe kupata furaha
 
1.Hivi inaingia akililini kweli kwamba jeshi la mwamba natanyahau,tena likisaidiwa na silaha kali kali kutoka Marekani,na sio hivyo tu,ni jeshi la watoto wa taifa la Mungu,wavamiwe na jeshi la wanamgambo wa ngo ya hamas?
2.Ni kwa vipi hilo jeshi la mwamba natanyahu ambalo limebomoa kila nyumba gaza
Jeshi la Israel ni hatari sana
ili atimuze lengo lake ovunla kuiangamiza gaza.Lakini hatafanikiwa
Hatoweza kivipi wakati umesema ana jeshi kubwa ambalo lisingeweza kuvamiwa Oktoba 7??
 
Sasa linganisha vifo 1,200 kwa Waisraeli na vifo 42,000 vya wapalestina na hasara ya makazi, shule, misikiti, makanisa, na taasisi mbali mbali kwa wapalestina
Ungewauliza hamas ungeona kuwa ni wapumbavu kiasi gani. Wanajua Israel wanapolipiza karibu Mara kumi ya kile ulichowafanyia. Hamas walitakiwa kuhesabu ghalama ya matokeo ya kazi yao.
 
Siku zote omba kuzaliwa na akili ila usiombe kuzaliwa na rangi nyeupe.........waarabu ni weupe lakini akili ni nyeusi.......yaani wanashindwa hata akili ya kujiongoza sasa sijui wanataka waishije........oktoba 7 lilikuwa ni kosa la karne kwao kwa kuruhusu vibaka wachache kuchezea amani yao ya milele ........sasa wanavuna walichopanda ni zamu ya Israel na yenyewe kupata furaha
Babu tengua kauli ndugu kinachombeba mwarabu ni utajili wa mafuta tu. Lakini akili kazidiwa mbali sana na mtu mweusi. Tutake radhi
 
Sasa linganisha vifo 1,200 kwa Waisraeli na vifo 42,000 vya wapalestina na hasara ya makazi, shule, misikiti, makanisa, na taasisi mbali mbali kwa wapalestina
Kumbuka Hamas waliangamiza watu zaidi ya 1200 ndani ya masaa 9 mpaka walipodhibitiwa na jeshi, halafu pia walirusha makombora zaidi ya 5000 kwa kila siku. Tarehe 8 Oct Hezbollah wakaanza kushambulia kwa nguvu kubwa kutokea kaskazini.
Israel angekua amekaa kizembe bila mifumo imara ya ulinzi tungeshuhudia maafa makubwa zaidi ya Gaza.
 
Ndio changamoto za kuwa kiongozi wa nchi za kidemokrasia kama Israel na USA.

Netanyahu amehangaika sana kupata kibali cha kuiangamiza Gaza na ku-terrorize Wapalestina katika mapambano na HAMAS. Bunge limekuwa likimpiga breki na jumuia ya kimataifa kumnyooshea kidole.

Hakusuka mashambulizi ya 7 Oktoba lakini yeye na MOSSAD walijua kinachoendelea wakaamua kuminya kimya. HAMAS walipofanya yao huku kila mtu Israel na duniani akishuhudia ndipo Netanyahu akaamka rasmi “kwa gadhabu kuu” na kuitangazia HAMAS na Gaza kiama. Hapo tena hakukuwa mtu wa kuhoji wala kumkumbusha kesi zake za ufisadi zilizoko mahakamani hadi leo.

Ni kama Oktoba 7 ilimpa uhai mpya na blank cheque ya kuwafanyia Wapalestina anachotaka katika harakati za kuwaangamiza HAMAS waliojichimbia katikati ya raia.

Netanyahu angekuwa nchi kama Russia au North Korea asingehitaji “kisingizio” cha Oktoba 7 kuichakaza Gaza, Lebanon na Syria kama anavyojipigia tu hivi sasa.

Fikiri, hadi sasa kuna Waisraeli kibao wanasubiri kumchukulia hatua kwa kuzembea hadi Oktoba 7 ikatokea. Pia kwa kutofanya juhudi za dhati za kuwakomboa mateka. Kuna maandamano ya mara kwa mara yanafanyika Israeli kutaka Netanyahu aondolewe madarakani (bila kujali kuna vita inaendelea)!
 
Ungewauliza hamas ungeona kuwa ni wapumbavu kiasi gani. Wanajua Israel wanapolipiza karibu Mara kumi ya kile ulichowafanyia. Hamas walitakiwa kuhesabu ghalama ya matokeo ya kazi yao.
Hata waliopona vifo wako kwenye kambi za wakimbizi maji, chakula, dawa na makazi ni shida. Mashirika yanayotoa misaada wanafukuzwa, wawaache wapalestina wajifie natural death. Wakati shambulizia la October 7 lilileta shangwe, furaha na nderemo, kawaulize Gaza leo wanajisikiaje
 
Babu tengua kauli ndugu kinachombeba mwarabu ni utajili wa mafuta tu. Lakini akili kazidiwa mbali sana na mtu mweusi. Tutake radhi
Ujaelewa bandiko langu........rudia kusoma tena.........nimemaanisha waarabu weupe lakini akili kichwani hakuna yaani kutupu
 
🇮🇱🇱🇧 Mahmoud Kmati, deputy chief of Hezbollah's Political Council:

"We will remain patient for the 60 days, but day 61 will be different if Israel does not withdraw it's forces from southern Lebanon".
 
Ujaelewa bandiko langu........rudia kusoma tena.........nimemaanisha waarabu weupe lakini akili kichwani hakuna yaani kutupu
Sasa uliposema Kama watu weusi nikakwambia tengua mkuu sababu watu weusi Wana akili kuwazidi waarabu
 
Utekaji uliofanywa Oktoba 7 2023 ni njama za natanyahu kuiangamiza palestina.Hebu tujiulize maswali haya:
1.Hivi inaingia akililini kweli kwamba jeshi la mwamba natanyahau,tena likisaidiwa na silaha kali kali kutoka Marekani,na sio hivyo tu,ni jeshi la watoto wa taifa la Mungu,wavamiwe na jeshi la wanamgambo wa ngo ya hamas?
2.Ni kwa vipi hilo jeshi la mwamba natanyahu ambalo limebomoa kila nyumba gaza,mpaka leo limeshindwa kuwakomboa mateka?
3.Ukweli ni kwamba ni natanyahu mwenyewe ndio aliandaa tukio hilo na akalitekeleza na hata hao mateka anao yeye,ili atimuze lengo lake ovunla kuiangamiza gaza.Lakini hatafanikiwa
Hahaha hata hii ya Mo Salah kusherekea Christmas itakuwa ni njama za Netanyahu

View: https://x.com/TheHarrisSultan/status/1873579666105417869

Vitoto vyenu toka vichanga mnavifunza ugaidi, unafikiri vita ikianza vitahurumiwa!!
Yahudi amewaweza kweli kweli

View: https://x.com/angryopinionatd/status/1873380006422061430
 
Sasa uliposema Kama watu weusi nikakwambia tengua mkuu sababu watu weusi Wana akili kuwazidi waarabu
Kipimo cha akili nyingi au ujinga wa akili, ungepimwa kwa matumizi sahihi ya rasilimali au matumizi ya hovyo ya rasilimali hizo hizo za nchi na maendeleo ya watu, utafiti, ugunduzi, uzalishaji na ustaarabu. Rasilimali ya waarabu ni mafuta, je akili zao zimewasaidia kuyatumia vizuri au vibaya. Mtu mweusi/mtanzania ana rasilimali zaidi ya muarabu kama misitu, hifadhi ya wanyama, ardhi, gas, maji, madini, mifugo, samaki, hewa ukaa, makaa ya mawe, Chuma nk. Je rasilimali zote hizo mtanzania mweusi, akili zake amezitumia kujiendeleza au yuko taabani kama nguruwe pori .???? Kumfanananisha mtu mweusi na binadamu yeyote ni matusi kwa wastaarabu wote duniani weupe wote wapewe mauwa yao.
 
Back
Top Bottom