Okwi aipa ushindi Uganda dhidi ya Misri

Okwi aipa ushindi Uganda dhidi ya Misri

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
18,960
Reaction score
67,654
Mshambuliaji hatari kwa ukanda huu wa Afrika ya Mashariki na Kati, Emmanuel Okwi ameipa ushindi timu yake ya Taifa ya Uganda dhidi ya Misri katika pambano la Kufuzu Kombe la Dunia lililopigwa Kampala nchini Uganda.
Okwi alifunga goli pekee na la ushindi dakika ya 52 ya mchezo.

Wale mnaombeza endeleeni kumbeza ila mwenzenu anapiga kazi kimykimya!
 
Waarabu wana mbinu hapo next game yupo majeruhi

Sent using Jamii Forums mobile app
DIjtgqfUIAA9_eX.jpg
 
Mbona unabisha Okwi hakukusanya kijiji
Alivyopigiwa mpira na juuko,alisita kupiga,mwili ulimgomea,wakati anajikakamua ili apige,mabek wakawa wamemsogelea kama wanne kabla hawajamdhibiti akapiga ndo likawa goli.Kuwakusanya mm najua kama alivyokuwa akifanya Gaucho au Okocha,anawafuata mnakuja kumkaba anawakata chenga anapita anafunga.Okwi alipokea mpira na akapiga sikuona chenga mkuu.

Kuishi kwenye denial ni ugonjwa mbaya sana
 
Back
Top Bottom