Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Mshambuliaji hatari kwa ukanda huu wa Afrika ya Mashariki na Kati, Emmanuel Okwi ameipa ushindi timu yake ya Taifa ya Uganda dhidi ya Misri katika pambano la Kufuzu Kombe la Dunia lililopigwa Kampala nchini Uganda.
Okwi alifunga goli pekee na la ushindi dakika ya 52 ya mchezo.
Wale mnaombeza endeleeni kumbeza ila mwenzenu anapiga kazi kimykimya!
Okwi alifunga goli pekee na la ushindi dakika ya 52 ya mchezo.
Wale mnaombeza endeleeni kumbeza ila mwenzenu anapiga kazi kimykimya!