So what?
Mkuu Mimi nimewapa yanga hongera sababu mwanzoni okwi alikuwa na magoli mengi kuliko timu nzima ya yanga..sahivi yanga wameshampita okwi kwa magoli mawili zaidi...mkuu kwanini nisiwape hongera??Hizi furaha nilidhani zinatokana na kumpita Yanga alama kwenye msimamo. Kumbe ni shamra shamra za kumpita magoli..πππ
Nimecheka sana yaani......
Mkuu Mimi nimewapa yanga hongera sababu mwanzoni okwi alikuwa na magoli mengi kuliko timu nzima ya yanga..sahivi yanga wameshampita okwi kwa magoli mawili zaidi...mkuu kwanini nisiwape hongera??
kutwaa mataji..kombe lililopita yanga mbona walilichukua kwa kuwa na magoli mengi dhidi ya simba,kwanini leo nisiwape hongera kwa kumshinda magoli okwiTunataka Ongera za kutwaa mataji....ma sio kupitana magoli.! Kushindana magoli tuwaachie wakina Ndondo Cup.