demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
So what?
pengine wana ashiria ndio wakati TFF iwakabidhi Ubingwa kabisa....kwa sababu wanaongoza kwa magoli.😀😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So what?
Mkuu Mimi nimewapa yanga hongera sababu mwanzoni okwi alikuwa na magoli mengi kuliko timu nzima ya yanga..sahivi yanga wameshampita okwi kwa magoli mawili zaidi...mkuu kwanini nisiwape hongera??Hizi furaha nilidhani zinatokana na kumpita Yanga alama kwenye msimamo. Kumbe ni shamra shamra za kumpita magoli..😀😀😀
Nimecheka sana yaani......
Mkuu Mimi nimewapa yanga hongera sababu mwanzoni okwi alikuwa na magoli mengi kuliko timu nzima ya yanga..sahivi yanga wameshampita okwi kwa magoli mawili zaidi...mkuu kwanini nisiwape hongera??
kutwaa mataji..kombe lililopita yanga mbona walilichukua kwa kuwa na magoli mengi dhidi ya simba,kwanini leo nisiwape hongera kwa kumshinda magoli okwiTunataka Ongera za kutwaa mataji....ma sio kupitana magoli.! Kushindana magoli tuwaachie wakina Ndondo Cup.