GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,337
Huyu jamaa huwa sielewi kabisa.ikitokea akaenda kuchezea team yake ya Taifa huwa kama anaenda kunoa makali.akirudi anarudi na makali mapya.
Nadhan TFF waangalie suala hili kwa umakini isije ikawa jamaa akienda kwao anajifua sana. Hii inaweza leta madhara kwa team zetu hapa nchini maana tunaona jinsi anavyoziadhibu team pinzani.