Okwi asiwe anaruhusiwa kwenda kwao (Uganda) Madhara yake ni makubwa

Okwi asiwe anaruhusiwa kwenda kwao (Uganda) Madhara yake ni makubwa

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
6,651
Reaction score
14,337
Huyu jamaa huwa sielewi kabisa.ikitokea akaenda kuchezea team yake ya Taifa huwa kama anaenda kunoa makali.akirudi anarudi na makali mapya.

Nadhan TFF waangalie suala hili kwa umakini isije ikawa jamaa akienda kwao anajifua sana. Hii inaweza leta madhara kwa team zetu hapa nchini maana tunaona jinsi anavyoziadhibu team pinzani.
 
Inasemekana amejiteka....wachezaji na mashabiki wa ruvu shooting wanamtafuta wanadai mdomo wake ndo huwa unawapa simba hasira. Sasa hawataki awe anazungumzia mechi yao na simba tena.

Vipi Masau bwire mzee wa masimu mengi anampya gani hko[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Huyu jamaa huwa sielewi kabisa.ikitokea akaenda kuchezea team yake ya Taifa huwa kama anaenda kunoa makali.akirudi anarudi na makali mapya.

Nadhan TFF waangalie suala hili kwa umakini isije ikawa jamaa akienda kwao anajifua sana. Hii inaweza leta madhara kwa team zetu hapa nchini maana tunaona jinsi anavyoziadhibu team pinzani.
Hii pia itasaidia kuokoa mipira atakayokua akiondoka nayo baada ya kufunga goli 3 au zaidi kila baada ya mechi.
 
Chama alipiga free kick kutokea pembeni kama school boy..mpeni video's za Ajibu ajifunze anatia aibu
Uyo ajibu hata timu ya taifa hasomeki, chama level nyingine usimfananishe na mla mihogo
 
Back
Top Bottom