Okwi ana miaka mingapi sasa? Jamaa anacheza mpira tangu nipo Secondary hadi leo!Aliekuwa nyota wa zamani wa Simba Emmanuel Okwi amethibitisha kutua club ya Al Zawra. Tayari ametambulishwa jijini Baghdad kukipiga ndani hiyo timu.
sawa na sepenga tu hawakuiOkwi ana miaka mingapi sasa? Jamaa anacheza mpira tangu nipo Secondary hadi leo!
Aisee !! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Huko Iraq si ndio watu huwa wanacheza soka huku wamevaa kanzu?
ana miaka kati ya 21 au 22 hivi[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Okwi ana miaka mingapi sasa? Jamaa anacheza mpira tangu nipo Secondary hadi leo!
Hivi bado ana ile ile miaka yake 28 ya siku zote ?Aliekuwa nyota wa zamani wa Simba Emmanuel Okwi amethibitisha kutua club ya Al Zawra. Tayari ametambulishwa jijini Baghdad kukipiga ndani hiyo timu.
Hukuandika MABOMU acha uongo, uliandika MABUMUIla mods niliandika heading OKWI TAYARI KUPIGWA MABOMU IRAQ mkaamua yenu basi sawa
Naskia saivi imerudi nyuma , he is 26 right nowHivi bado ana ile ile miaka yake 28 ya siku zote ?