Kwani hilo hilo unalolijua linawatosha ndg yangu.... [emoji16] [emoji16]Nimchezaji ambaye hapo awali alipata kuchezea Simba SC misimu 5 kamili.
Ndani ya hiyo misimu 5 aishuhudia Yanga akiwa mabindwa misimu 4 na timu yake ikiwa bingwa msimu 1.
wengine waje kukusaidia , mimi najua hilo tu!
Ndio hivyo mkuu kila mtu na starehe yake.Wenzenu wanashangilia ubingwa, mmeamua kujipoza na Simba day! Hahahaaah, mbumbumbu FC.
Pole wewe, mi nazungumzia Simba day, wewe unaleta habari za ubingwa wa ligi.Dawa imeingia hiyo babu! Pole...
Siyo huyo tuuu,hata yule bishoo wa Rwanda hamna kitu,yale makinikia mawili yaliyotoka Azam ndo hovyo kwelikweli.Mm Naona Kwa Emanuel Okwi Nikm Wamechemsha
Pale golikipa alipotema mpira mbele yake akabaki anachimba shimo na mguu wa kushoto,alipojaribu kujitutumua,mguu wa kulia ukamgomea golikipa aliyekuwa kalala akainuka na kutoa mpira nje.Hakika limekuwa kinikia lililotukuka a. k.a Entabani.Niko uwanjani na nimemuangalia okwi vizuri tu yuko vizuri ana movement nzuri na yuko sharp kama kawaida kwa ujumla okwi yuko ok according to me na uelewa wangu wakisoka
Pale ndipo nithibitisha kabisa kwamba huyu akili inataka lakini mwili hautaki... Miguu haiwezi kabisa kama ana kiharusi.....Pale golikipa alipotema mpira mbele yake akabaki anachimba shimo na mguu wa kushoto,alipojaribu kujitutumua,mguu wa kulia ukamgomea golikipa aliyekuwa kalala akainuka na kutoa mpira nje.Hakika limekuwa kinikia lililotukuka a. k.a Entabani.
Pogba wa tz ambaye nchi imemshinda ni nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha makinikia yatachenjuliwa tarehe 23 natamani ifike haraka tujue moja tu.Siyo huyo tuuu,hata yule bishoo wa Rwanda hamna kitu,yale makinikia mawili yaliyotoka Azam ndo hovyo kwelikweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona yanga wakiiga somewhere!Pongezi kwa Simba kwa kubuni siku ya..
Simba Day. hakika ni siku inayopendeza sana kwa mashabiki.
Siku ambayo wachezaji wa Simba sc wote wanatambulishwa kwa washabiki na wanachama wa Simba sc.
Pongezi kwenu viongozi wa Simba sc.
Hii ni Simba Bwana.
Kafanya vizuri sana, kuna haja ya kumpongeza rage kwa huu ubunifu. Simba Day ni Sikukuu nzuri mno, haina kifano, nitaizungimza siku ya mkutano wa wanachama.Naona yanga wakiiga somewhere!
Rage ndo alianzisha hii kitu!
Watakuwa kama hawa,,,,,,,,hahahaha,,,,dadadah DDDDD dadadadadeki!!Kafanya vizuri sana, kuna haja ya kumpongeza rage kwa huu ubunifu. Simba Day ni Sikukuu nzuri mno, haina kifano, nitaizungimza siku ya mkutano wa wanachama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia alifunga mabao mawili na kusababisha penati tatu wakati Yanga ikibugia 5-0Nimchezaji ambaye hapo awali alipata kuchezea Simba SC misimu 5 kamili.Ndani ya hiyo misimu 5 aishuhudia Yanga akiwa mabindwa misimu 4 na timu yake ikiwa bingwa msimu 1. wengine waje kukusaidia , mimi najua hilo tu!
Mkubali, mkatae... Okwi wa leo ni galasa......
Nilichokiona, akili inataka lakini mwili unakataa.... Ajiandae kuwa kocha kwa sasa, mpira kuishneiiii!
Bila kusahau kati ya mabao 5 hayo . Ni manne 4 alifungwa kipa wenu chaguo la pili NDUDA.Pia alifunga mabao mawili na kusababisha penati tatu wakati Yanga ikibugia 5-0
Naona yanga wakiiga somewhere!
Rage ndo alianzisha hii kitu!
SIMBA DAY!
Timu kama Yanga SC hauwezi kuiga "Kuingia Hedhi". Inashangaza unaposikia mwanaume naye ana siku yake.
Hebu itafsiri kwa kiswahiliili tuone kama italeta maana kama unayo imaanisha. LOLSIMBA DAY!
Nakazia!!
Imeandikwa kwa kizungu, tafsiri peleka bwawani pale kwenye vyura!Hebu itafsiri kwa kiswahiliili tuone kama italeta maana kama unayo imaanisha. LOL