Povu la nini? Hizo hasira huwa zinawatokea wale walioko kwenye period.Imeandikwa kwa kizungu, tafsiri peleka bwawani pale kwenye vyura!
Okei.Povu la nini? Hizo hasira huwa zinawatokea wale walioko kwenye period.
Jibu swali.Hahahaha
He he heee! Very low! Inayofungwa ni timu si mchezaji. Hebu nipe rekodi yoyote inayosema Simba 4 Nduda 0. Hakunaa! Lakini Simba 5 Yanga 0 rekodi zimejaa teleBila kusahau kati ya mabao 5 hayo . Ni manne 4 alifungwa kipa wenu chaguo la pili NDUDA.
Yanga imechapwa 1-0 na Ruvu Shooting ya Mlandizi. Wazee wa kutathmini viwango vya magalasa mapya njooni mtuchambulie basiMkubali, mkatae... Okwi wa leo ni galasa......
Nilichokiona, akili inataka lakini mwili unakataa.... Ajiandae kuwa kocha kwa sasa, mpira kuishneiiii!
watuchambulie Ajibu hapaYanga imechapwa 1-0 na Ruvu Shooting ya Mlandizi. Wazee wa kutathmini viwango vya magalasa mapya njooni mtuchambulie basi
cc: demigod
Kuwa serious basi!Yaani uzi wote mzima unamzungumzia Okwi! He he heee!
Uko wapi gongo wazi utusaidie kuhesabu magoliPovu la nini? Hizo hasira huwa zinawatokea wale walioko kwenye period.
Jibu swali.Hahahaha
Kuja huku NanoliMkubali, mkatae... Okwi wa leo ni galasa......
Nilichokiona, akili inataka lakini mwili unakataa.... Ajiandae kuwa kocha kwa sasa, mpira kuishneiiii!
Hahahaha tumeona alivokuwa anajigonga gonga na nyavu....Nafikiri wote tumejionea muhenga wetu mpendwa akijigongagonga pale taifa..
"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
Yule galasa katoa salamu zakeMkubali, mkatae... Okwi wa leo ni galasa......
Nilichokiona, akili inataka lakini mwili unakataa.... Ajiandae kuwa kocha kwa sasa, mpira kuishneiiii!
Hahaha! Kaka una hasira naye sana
Hatujaanza leo kupiga wanyonge kama hao nyingi nyingi.Uko wapi gongo wazi utusaidie kuhesabu magoli