Okwi huyu! Hapana.....

Okwi huyu! Hapana.....

Bila kusahau kati ya mabao 5 hayo . Ni manne 4 alifungwa kipa wenu chaguo la pili NDUDA.
He he heee! Very low! Inayofungwa ni timu si mchezaji. Hebu nipe rekodi yoyote inayosema Simba 4 Nduda 0. Hakunaa! Lakini Simba 5 Yanga 0 rekodi zimejaa tele
 
tanobila-jpg.563071
 
Yaani uzi wote mzima unamzungumzia Okwi! He he heee!
 
Mkubali, mkatae... Okwi wa leo ni galasa......
Nilichokiona, akili inataka lakini mwili unakataa.... Ajiandae kuwa kocha kwa sasa, mpira kuishneiiii!
Yanga imechapwa 1-0 na Ruvu Shooting ya Mlandizi. Wazee wa kutathmini viwango vya magalasa mapya njooni mtuchambulie basi
cc: demigod
 
Nafikiri wote tumejionea muhenga wetu mpendwa akijigongagonga pale taifa..

"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
 
Back
Top Bottom