Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja waje hahahaMkubali, mkatae... Okwi wa leo ni galasa......
Nilichokiona, akili inataka lakini mwili unakataa.... Ajiandae kuwa kocha kwa sasa, mpira kuishneiiii!
Kwahiyo wakusaidie nini?
SIMBA MAKINIKIA MENGI HAKUNA KITUMkubali, mkatae... Okwi wa leo ni galasa......
Nilichokiona, akili inataka lakini mwili unakataa.... Ajiandae kuwa kocha kwa sasa, mpira kuishneiiii!
Acha wivu wewe mwenzio katoka kuchukua tuzo leo alf unapokuwa si ridhki mpira wap na wap?Hajui Mikia ndo zao hizo! Shabalala mtoto c riziki, sitashangaa na mashabiki wake wako hivyo....