Okwi huyu! Hapana.....

Okwi huyu! Hapana.....

Atawaridhisha mikia kwa kuifunga yanga. Baada ya hapo hakuna jipya
 
Niko uwanjani na nimemuangalia okwi vizuri tu yuko vizuri ana movement nzuri na yuko sharp kama kawaida kwa ujumla okwi yuko ok according to me na uelewa wangu wakisoka
Hahahaaah, eti niko uwanjani.. Kwani sisi tulikua wapi... Kiki za kimbumbumbu kabisa.... Hatujasimuliwa, tumemuona! [emoji51] [emoji51]
 
Mbona hawa wezi wa miwa wamepaniq sana juu OKWI??? Okwi kwenye ligi ya Uganda yupo kwenye first 11msimu huu unaoisha!

By the way ameassist Leo, naziona 5 zingine hizooooooo!

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Hahahaaah, eti niko uwanjani.. Kwani sisi tulikua wapi... Kiki za kimbumbumbu kabisa.... Hatujasimuliwa, tumemuona! [emoji51] [emoji51]
67a8c3560fffc3e4c8871c204d278a00.jpg
 
Pongezi kwa Simba kwa kubuni siku ya..
Simba Day. hakika ni siku inayopendeza sana kwa mashabiki.
Siku ambayo wachezaji wa Simba sc wote wanatambulishwa kwa washabiki na wanachama wa Simba sc.
Pongezi kwenu viongozi wa Simba sc.
Hii ni Simba Bwana.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mm Naona Kwa Emanuel Okwi Nikm Wamechemsha
Nimchezaji ambaye hapo awali alipata kuchezea Simba SC misimu 5 kamili.

Ndani ya hiyo misimu 5 aishuhudia Yanga akiwa mabindwa misimu 4 na timu yake ikiwa bingwa msimu 1.

wengine waje kukusaidia , mimi najua hilo tu!
 
Pongezi kwa Simba kwa kubuni siku ya..
Simba Day. hakika ni siku inayopendeza sana kwa mashabiki.
Siku ambayo wachezaji wa Simba sc wote wanatambulishwa kwa washabiki na wanachama wa Simba sc.
Pongezi kwenu viongozi wa Simba sc.
Hii ni Simba Bwana.
Wenzenu wanashangilia ubingwa, mmeamua kujipoza na Simba day! Hahahaaah, mbumbumbu FC.
 
Back
Top Bottom