MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Okwi na Juuko ni professional players wanaotambua wàjibu wao hivyo tusitarajie huruma ya aina yeyote kutoka kwa hawa pamoja na Wadada anayechezea Azam mwezi March, 2019Sina mengi ya kuongea sana,nakuomba tu ureciprocate upendo tuliokuonesha
Okwi 3 CCM 0.Sina mengi ya kuongea sana,nakuomba tu ureciprocate upendo tuliokuonesha
Mungu ana kazi ngumu sana. Safari uganda wanacheza na Carpe Verde tulimuomba asaidie Carpe Verde wafungwe, wakafungwa, safari hii tunamuomba tena Mungu asaidie Carpe berde washinde.Sina mengi ya kuongea sana,nakuomba tu ureciprocate upendo tuliokuonesha
Peleka ujinga wako Lumumba!Sina mengi ya kuongea sana,nakuomba tu ureciprocate upendo tuliokuonesha
Lumumba hamna ujinga mkuuPeleka ujinga wako Lumumba!
Hahaha pole jombaa. Yule bwana anafanya kazi kwa kibali maalumu.Sina mengi ya kuongea sana,nakuomba tu ureciprocate upendo tuliokuonesha
Huyu ndo mke wa Okwi au nyumba ndogo?Wameshaanza ccm bhanaView attachment 940785
Ila kuna mashogaaLumumba hamna ujinga mkuu
Wameshaanza ccm bhanaView attachment 940785