Okwi kwa muda uliokaa Bongo wewe tayari ni Mtanzania

Okwi kwa muda uliokaa Bongo wewe tayari ni Mtanzania

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Sina mengi ya kuongea sana,nakuomba tu ureciprocate upendo tuliokuonesha
 
Sina mengi ya kuongea sana,nakuomba tu ureciprocate upendo tuliokuonesha
Hahaha pole jombaa. Yule bwana anafanya kazi kwa kibali maalumu.
Tena kinatambulika uraini. Kiisha anarud kuomba upya.
Suala la yeye kulipa fadhal halipo ndugu.. yule ni mganda anatabak kuwa mganda .
 
Wameshaanza ccm bhana
FB_IMG_15427315725165533.jpg
 
naona wanasumbuka ,si watatumia njia za ccm kushnda, maana ni 99.9%
 
Si huyo tu hata Juuko afikirie ubinadamu kwanza,kwa kuwa nae ni mwenzetu.
 
Back
Top Bottom