kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,341
Ha ha ha akiondoka huwa ni "aende tu kwanza ni Mzee". Akirudi anakuwa kijana Wa miaka 25 ambayo huwa haibadiliki hadi siku atakayoondoka!Okwi huwa akirudi umbumbumbuni na miaka yake inarudi nyuma mpaka miaka 18