Old is Gold: Good music never dies

Old is Gold: Good music never dies

Nikumbusheni south African music hits zilizotesa miaka ya 1984 hadi 1986 jamani nilikuwa bado teenager
 
BAK kuna wimbo wa madilu (R.I.P) nahisi ulitoka baada ya yeye mwenyewe
kutangulia mbele za hazi; video yake ilionyesha maisha yake hadi
mazishi yake; naomba kama unao.

Mambo yako yako je lakini?


 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Mie mzima kabisa Mamndenyi namshukuru Muumba wetu, nawe ni aje?. Nikitulia leo baadaye nitakutafutia maana ziko nyingi sana kule utube na nyingine quality yake ni ya chini mno. Have a great weekend 🙂🙂


BAK kuna wimbo wa madilu (R.I.P) nahisi ulitoka baada ya yeye mwenyewe
kutangulia mbele za hazi; video yake ilionyesha maisha yake hadi
mazishi yake; naomba kama unao.

Mambo yako yako je lakini?
 
Last edited by a moderator:
Aisee kama nilivyokwambia hii kitu nimetafuta lakini nimetoka kapa, itakuwa poa kama unajua title ya hiyo utube link. Have a great weekend.



BAK kuna wimbo wa madilu (R.I.P) nahisi ulitoka baada ya yeye mwenyewe
kutangulia mbele za hazi; video yake ilionyesha maisha yake hadi
mazishi yake; naomba kama unao.

Mambo yako yako je lakini?
 
Last edited by a moderator:
Title of this song is called "Mwana Mkiwa, Pt. I (Mama Watoto) ." Marijani Rajabu with Dar International . Source : Power Nguzo wa youtube
 
Last edited by a moderator:
Maquis Original - Pondamali . Source : Power Nguzo wa youtube
 
Last edited by a moderator:
Mlimani Park Orchestra - Oh Dear . Source: Power Nguzo wa youtube
 
Last edited by a moderator:
Mbaraka Mwinshehe & Morogoro Jazz Band - Dar salaam Capital. Source: Power Nguzo wa youtube
 
Last edited by a moderator:
BAK niwekee Jet plane wa Kraviatze, na It must have been love.. Mwe kweli watoto waliozaliwa kipindi hiki cha akina Bob Junia ,.. they don't what they've missed...
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
kwa wale wanaopenda nyimbo za zikongo..




 
Last edited by a moderator:
Mkuu BAK...naomba uniwekee wimbo wa Madilu Multisystem-rip...Biya...shukran!!
 
Back
Top Bottom