Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
ke rata ena fela.
Nikumbusheni south African music hits zilizotesa miaka ya 1984 hadi 1986 jamani nilikuwa bado teenager
BAK kuna wimbo wa madilu (R.I.P) nahisi ulitoka baada ya yeye mwenyewe
kutangulia mbele za hazi; video yake ilionyesha maisha yake hadi
mazishi yake; naomba kama unao.
Mambo yako yako je lakini?
BAK kuna wimbo wa madilu (R.I.P) nahisi ulitoka baada ya yeye mwenyewe
kutangulia mbele za hazi; video yake ilionyesha maisha yake hadi
mazishi yake; naomba kama unao.
Mambo yako yako je lakini?