juve2012
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 3,343
- 2,040
Bonus song from JC
Mkuu siku ya kwanza kuanza kutumia Utube nilifurahi sana maana nilikuwa kama mtoto aliyeletewa toy alipendalo kupita matoy yote lol!!! Yaani kila nyimbo niliyokuwa naifahamiu nikiitafuta tu naipata. Acha utube ipate umaarufu mkubwa sana duniani si kwenye muziki tu bali mambo mengine mbali mbali. Mtihani wako ulikuwa rahisi mno niliufanya in less than a minute lol! hahahahaha jioni njema Mkuu.
Ha ha ha haa!haya bhana umefaulu.hongera.ila nakutafutia kigongo kingine.nipe muda ha ha haa.mambo mazuri sana haya.
Last edited by a moderator: