Bonus song from JC
Mkuu siku ya kwanza kuanza kutumia Utube nilifurahi sana maana nilikuwa kama mtoto aliyeletewa toy alipendalo kupita matoy yote lol!!! Yaani kila nyimbo niliyokuwa naifahamiu nikiitafuta tu naipata. Acha utube ipate umaarufu mkubwa sana duniani si kwenye muziki tu bali mambo mengine mbali mbali. Mtihani wako ulikuwa rahisi mno niliufanya in less than a minute lol! hahahahaha jioni njema Mkuu.
Yani nikisikia nyimbo zao esp. hizo tatu lazima mwili ujibu kwa ku-groove...Memorable group kwa kazi nzuri in music!!
hz nazo zlsumbua enz hzo mzik ulpokuwa mzik, dont look any further-Dennis edward, love stations& we are number one- The winners, Loverboy- Billy ocean, self control- laura branigan, ur the one and only-Seduction, spring love- steve b, breakin there no stopping us-ollie and jery, baby can i hold you tonight..mwsho kbsa namalzia na Take my breathe away ya kwao Berlin ktkta kwnye album yao ya Top gun!! heshma kwko dj jd everlasting dj p1 dj John Peter Pantarass! " old will always stay precious like gold"
hebu tupia dont be cruel ya Bobby BrownKaribu Mkuu Kibunango
Kitu kingine hicho Mkuu, I hope utaweza kuifungua maana nyingi za mwaka 47 naona baadhi wanapata shida kuzifungua. Sasa hiki kitu ukisikilize kwenye music system iliyoshiba...acha Mkuu.
Whoow whow whow yeah yeah
I love you more than i can say
I love you twice as much tomorrow ooh
Love you more than i can say
Whoow whow whow yeah
I miss you every single day
Why must my life be filled with sorrow ooh
I love you more than i can say
Oh,dont you know i need you so,oh,tell me please i gotta know
Do you mean to make me cry
Am i just another guy
Whow whow whow yeah....
BAK unamkumbuka huyo bwana hapo?anaitwa Leo Sayer,ngoma hiyo inaitwa More than i can say,miaka ya 80 hiyo.
Kuna yule mwingine anaitwa George Benson,na single yake ya "nothing gonna change my love for you"..mambo ya chombeza time za 80's hizo ha haa!kuna na yule mdada wa ki-irish anaimba "nothing compares to you",Sinead O'Connor unamkumbuka?hiyo ilikuwa 90's aisee please,tuwekee haya machombezachombeza hapa mkuu,natanguliza shukrani kwako Dj BAK
one among ten of my fovourite song of all time
Ukiwa Club DJ akiamua kuuweka huu basi ni lazima ushuke kwenye dancing floor.
mkuu we acha tu, unanikumbusha mbali sana na hasa nikiwa peke yangu unanitia huzuni kwani kuna best yangu mmoja tulikuwa wote secondary alishafariki alikuwa anupenda huu wimbo balaa