Old is Gold: Good music never dies

Kitu kinaita hiki.

 
Ebana naipenda hii video ya mama/bibi Mbilia Bel, ni re-make ya wimbo Nakei Nairobi toka miaka ya f 70's au 80s. Angalia mitoto ya kikongo inavyokatika ndani ya African attire, ingekuwa kwetu (wadanganyika na wazabinazabina) tungevaa kiulaya kama sio kighuba hatuna african pride yoyote. Enjoy it

 
Last edited by a moderator:
Hapa nimestuka nasikiliza tu ngoma za new edition "cool it now" " mr telephone man " .... Nikimaliza naanza na vitu vya New kids on the block
 
Daaaa aiseeeeeeeeee hizi flashbacks ni noumaaaaaaaaaaaaaaa
 
.....
 
Last edited by a moderator:
Another night real Mccoy.... Bonge moja la ngoma
 
Hili ni jukwaa mwanana sana kwangu,jamani kama kuna group la whatsap swmeni mniunge tutumiane mawe hayo aisee,majibu tafadhari
 
Mwenye nyimbo ya Nasma khamis "subalkheir mpenzi" km anaweza antumie 0768485053 wasap, au hata hapa
 
I'm free ya Donna summer nayo ilikuwa Kali enzi hizo, kuna Bernard wright na wimbo wake Who do you love. Bila kumsahau mwanadada wa enzi hizo Evelyn Champagne "The king" na wimbo wake Hold on to the what you got, dada Ana mipasho huyo hapo alikuwa anamwimbia bosi wake aliekuwa akimtaka kwa sababu ya pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…