Old is Gold: Good music never dies

Let's go dancing,inanikumbusha fainali kombe la dunia 1998,mzee Jacque Chirac aliicheza hii siku ile bila kupenda.
 
Huyu mzee nimeshaangalia ile shoo yake ya ufaransa live show ya 2004 alikuwa bado yupo vzr sasa kwa miaka michache anajivuta hivyo.

Alikuwa na show Atlanta kabla ya siku moja akaanguka na kuumia mgongo
Uzee hautaacha mtu
 
Huwa nikisikiliza old then niwe nakula bia mbili tatu iwee weekend tulivu,kwenye ki pub au bar ila isiwe with loud sound huwa na enjoe sanaaa
Kuna YOU CAN' T MAKE OLD FRIENDS ya king Kenny na Doly naikubali kinoma
 

Beberu wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…