Old is Gold: Good music never dies

Old is Gold: Good music never dies

Namsikitikia Legend wangu Phil Collins alivyochoka mpaka huruma
Hawa ndio wazee walioshika mziki haswa
IMG_0993.JPG
 
Let's go dancing,inanikumbusha fainali kombe la dunia 1998,mzee Jacque Chirac aliicheza hii siku ile bila kupenda.
 
Huyu mzee nimeshaangalia ile shoo yake ya ufaransa live show ya 2004 alikuwa bado yupo vzr sasa kwa miaka michache anajivuta hivyo.

Alikuwa na show Atlanta kabla ya siku moja akaanguka na kuumia mgongo
Uzee hautaacha mtu
 
Huwa nikisikiliza old then niwe nakula bia mbili tatu iwee weekend tulivu,kwenye ki pub au bar ila isiwe with loud sound huwa na enjoe sanaaa
Kuna YOU CAN' T MAKE OLD FRIENDS ya king Kenny na Doly naikubali kinoma
 
Wasanii ambao napenda nyimbo zao ni wale wa zamani zamani mfano:
1.james ingram
2.phil collins
3.billy ocean
4.whitney houston
5.roberta flack
6.george benson
7.kenny rogers
8.michael jackson
9.tina turner
10.roxette
12.james brown
13.lionel richie
14.boris gardner
15.luther vandross
16.peabo bryson
17.dionne warwick
18.the bee gees
19.ray parker jr.
20.miami sound machine
21.daina rose
22.cool and the gang
23.........yaani nina orodha ndefu ndefu na kusema ukweli toka moyoni hawa vijana wa kileo siwapendi kabisaaaaa

Beberu wote
 
Back
Top Bottom