Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
mkuu hata Mimi sio old skool ila playlist zangu zote ni old tupu kiukweli sijawahi kaa na kusikiliza hizi za paka mate niteleze mtaroni za kina naniiJapo mimi siyo old skull ila huwa napenda nyimbo za old skull pendwa zaidi ni
Red red wine-UB40
Miaka ya 80's na 90's nadhani malaika wa mziki alishuka duniani maana ngoma zilizotolewa miaka hiyo na wanamuziki wake sidhani kama kuna binadamu wa millennia hii atakuja zivunja rekodi hicho ndo kizazi kilichoibua wafalme wa miziki kama
Michael Jackson....king of pop
Freddie mercury...king of rock
Whitney houston...Queen of soul
Don william.... King of country
Nawengine wengiiiiiii