Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
mkuu hata Mimi sio old skool ila playlist zangu zote ni old tupu kiukweli sijawahi kaa na kusikiliza hizi za paka mate niteleze mtaroni za kina naniiJapo mimi siyo old skull ila huwa napenda nyimbo za old skull pendwa zaidi ni
Red red wine-UB40
nautafuta siupati..naona unapatikana wa maria carrey..huu wa janeth jackson una mapigo ya haraka haraka kama flashbackUnaitwa my all
Sorry mkuu, unaitwa ' all nite ( don't stop)nautafuta siupati..naona unapatikana wa maria carrey..huu wa janeth jackson una mapigo ya haraka haraka kama flashback
Kabisa yani ata nikiingia youtube huwa nakuta sysytem yao ishaniwekea playlist ya oldskul murua kila sikumkuu hata Mimi sio old skool ila playlist zangu zote ni old tupu kiukweli sijawahi kaa na kusikiliza hizi za paka mate niteleze mtaroni za kina nanii
Miaka ya 80's na 90's nadhani malaika wa mziki alishuka duniani maana ngoma zilizotolewa miaka hiyo na wanamuziki wake sidhani kama kuna binadamu wa millennia hii atakuja zivunja rekodi hicho ndo kizazi kilichoibua wafalme wa miziki kama
Michael Jackson....king of pop
Freddie mercury...king of rock
Whitney houston...Queen of soul
Don william.... King of country
Nawengine wengiiiiiii
10 years today tangu uzi umeanza. Time has flown by, waaaaah!
Ulale..
Awesome. Good music πΆNianazo nyimbo zake zote na Rogers
Enya tena mambo yaNamsikiliza tu Enya hapa..
π€£π€£ wahenga katika ubora wetu.yaan huu uzi ilikuwa kdogo tu unizidi umriπππ
Usaidiwe wimbo gani toka kwakeAlpha Blondy masada naomba anisaidie kwa whtp no 0623343547
Wimbo gani mkuu?Alpha Blondy masada naomba anisaidie kwa whtp no 0623343547
Katika vitu ninavyo utajiri ni hizi oldies,1.5TB (1500GB) zimejaa Oldiea hadi watoto wangu sasa wamezoea wakisikia kwa bahati mbaya sehemu wananiambia daddy tumesikia zile nyimbo zako.....Mfwatiliaji, umepata idea nzuri sana..nitatengeneza collection yangu pia, ili niwe nai-play nikizikumbukia hizi Oldies!!
Those days were absolutely fantastic and music was music, ufisadi nao ulikuwa haujazaliwa!!let's hope ufe mapema mana hatueleki pazuri kabisa na Tz yetu!!
Ubarikiwe na wewe pia Mfwatiliaji..