Old is Gold: Good music never dies

Old is Gold: Good music never dies

Nyimbo kama hizi zilitamba sana.

Easy - Commodores


Endless Love - Diana Ross & Lionel Richie


I'm Coming Out - Diana Ross


Midas Touch - Midnight Star


Forget Me Nots - Patrice Rushen


Let The Music Play - Shannon


Don’t StopTill you Get Enough - Michael Jackson


Master Blaster Jammin - Stevie Wonder


A Night To Remember - Shalamar


Le T.P. O.K. Jazz Mzee Franco


Massu


Maze - Tabu Ley Rochereau
 
Last edited by a moderator:
Hivi hawa walipotelea wapi wajameni??

[video=youtube_share;Ajp0Uaw4rqo]http://youtu.be/Ajp0Uaw4rqo[/video]
 
Leo nimeukumbuka huu wimbo...Mambo Nr. 5


 
Last edited by a moderator:
Baluti Orch Veve - YouTube

In the song, a woman songs about her husband Papy Baluti whom she says left her a "row" of children, for the joys of the world. She states that he sabotaged her by leaving her a long line of children in the house. She reminds him of how they had sworn to each when they got married in front of everyone that they would never leave each... As with many songs, these male singers are singing in the person of the aggrieved woman.
 


Naupenda sana huu wimbo wa Feargal, chorus maneno mwanana kabisa;

CHORUS:

A good heart these days is hard to find(A good heart)

True love, the lasting kind

A good heart these days is hard to find

So please be gentle with this heart of mine.
 
Last edited by a moderator:
Ballerina,

Huyu mama yupo sana tu ingawa umri ulishaanza kukimbia. Ni mwaka 2008 pale uwanjani Stade De France, Paris walishehekea miaka 30 ya KASSAV duniani.
Bahati mbaya mmoja wao, Patrick St. Eloi alishajitenga na mwaka 2010 akawa amepoteza mpambano na Kansa ambayo ilikuwa ikimsumbua.

Jocelyne Beroad alikuja juu sana na kulibadilisha kundi zima la Kassav na hasa wimbo wa SIWO. Ila baadaye walikuja akina mama wengine kumpa msaada kama backgorund Vocals. Kuna sehemu wamekuwa hata wanawatumia ZOUK MACHINE.

Waweza kuwaona hapa enzi wakiwa wote wazima. Kwenye video ya kwanza, Patrick ni yule anaimba mwanzo na kavaa kofia. Alikuwa na sauti ya kipekee sana huyu jamaa, RIP Patrick.

Tofauti nyingine ni kuwa Jocelyne anapata shida kidogo kwenye high pitch, angalia 3:26.

Mpiga Bass na Drums hapa huwaoni maana nao ni sehemu ya FACE ya Kassav.



Katika nyimbo ninazozipenda kwa sasa, ni huu wimbo ambao unapoanza, unaona wa ovyo sana ila unavyokwenda ndivyo unakuvuta na hutaacha kuusikilza tena na tena. Cha ajabu ni watu wanavyotulia na kuanza kusikiliza vitu vinavyotoka kwa heshima na hata wapigaji wenyewe, unaona wanaupiga kwa heshima sana. Sijui una maana fulani



Hivi huyu dada yu wapi???????Nina hakika wapenda zouk wanamkumbuka jamani
 
Last edited by a moderator:
Mkuu BAK inamkubuka huyu

Excellent, namkumbuka huyu Mkuu...inadaiwa kifo chake kilisababishwa na kuacha kilevi kwa speed ya kutisha badala ya kwanza kuanza kupunguza kidogo kidogo na hatimaye kuacha kabisa...alikuwa na kipaji cha hali ya juu lakini hakujipenda. RIP Amy.

 
Last edited by a moderator:
Excellent, namkumbuka huyu Mkuu...inadaiwa kifo chake kilisababishwa na kuacha kilevi kwa speed ya kutisha badala ya kwanza kuanza kupunguza kidogo kidogo na hatimaye kuacha kabisa...alikuwa na kipaji cha hali ya juu lakini hakujipenda. RIP Amy.

BAK Ilikuwa ajabu sana mana alikuwa mtimiaji sana wa drugs,nazo aliziacha gafla
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
BAK Ilikuwa ajabu sana mana alikuwa mtimiaji sana wa drugs,nazo aliziacha gafla

@Excellent inadaiwa alikuwa anakunywa pombe kali na madawa ya kulevya pia alikuwa mtumiaji mzuri. Pesa ni sabuni ya roho lakini kama akili haikutulia basi inaweza kukuharibia maisha au hata kusababisha kifo....Whitney Houston kuna wakati alikuwa on top of the World na utajiri uliokadiriwa kufikia $500m mwaka 1992 lakini akaendekeza madawa ya kulevya, pamoja na juhudi kubwa za wale waliokaribu naye lakini hawakufanikiwa na sasa hatunaye...RIP Whitney.
 
Mambo ya old scul hayo yanapooza machungu, enzi hizo hamna ufisadi wakuu

YouTube - Boogie Down - Linda Lewis - Class.Style (I've Got It)

dah im 22 bt Flashback kwng ndo km chakula, n hz ni baadh 2 ya nazozpenda .. love come down-Evelyn the King, Nothing gonna change my love 4u-George Benson, Believe-Cher, A little bit of Love-New Edition, Thinkng about your Love-Keny Thomas, Silent morning- midnight star, Wrapped-Grolia Estafan, Girl im gonna mis u- Mil Vannila, together 4ever by Rick Astley...
 
Back
Top Bottom