hapa nausikiliza wimbo uliitwa Wapi Yoo kutoka kwa mwanamama Yondo Kusala ama Yondo Sister.
Solo tamu na lisilochosha kusikiliza toka kwa Dally Kimoko.
Rythim kalikamata Lokasa ya Mbongo.
Bass Guitar yupo Ngouma Lokito anamkimbiza Dally Kimoko kila mtaa kila kona.
Shimita El Diego ana rap...