nani kakwambia? Ushawahi kufikia umri huo ukau reverse? Umri ni jinsi unavyousikia rohoni,you coukd be twenty ukajihisi na ku behave kama mtu wa miaka 40 na vice versa.We unadhani anaishi huyo, life at that stage is miserable!
kumbe we mdogoI wish I could reach her age someday, I got ~91 years to go. what about you guyz and galz?
kumbe we mdogo
dont take it personal but kuna kithibitisho chochote cha hiyo claim? hata mie nimesikia watu wenye 130+ years before but no proof.Nina imani hapa kwetu Africa kuna ambao wanaumri mkubwa zaidi ya huyu bibi ila hawaandikwi magazetini! Mfano bibi yangu mzaa mama alifariki akiwa na miaka 119!