Ole anaishi nyakati nilizo ishi kipindi cha Van Gaar na Mourinhol

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
Inachekesha sana shabiki tena alie huku pembezoni mwa dunia kushabikia timu yake kwenye mafanikio ya uchumi

Faida inayopatikana kwenye pato la timu hakuna hata shabiki mmoja anae pata hata mia
Lakini linapo kuja suala kusajiri mchezaji kwa gharama kubwa alafa akaenda kua flop inauma ni kama ununue bofro lwa gharama za pizza

Wakati wa luiz van Gaal United tulikua tumesha timua moyes baada ya kutufedhehesha sana ..!

Muda ulikua unaenda lakini bado mashabiki na bodi ya timu walikua wanaishi kwenye ndoto za babu fergie

Tukakurupuka kusajiri udagaa kibao akiwemo bwana mdogo Martial kutoka monaco kwa dau la pauni 54 Million
Sikuipenda kabisa hili dili hata baadaa ya kuwaburuza liVARpool kwenye mechi yake ya kwanza ya ligi niliendelea kuamini hana thamani ile!

Japo mbele ya Fans wa ukawa sikuonesha rangi zangu halisi ..

RVG akafeli nae akatimuliwa na moja ya sababu ilikua ni kufeli kuendana na thamani halisi ya mchezaji kitu ambacho Ferguson na parter wale wenger walipata 100%

Akaja bwana mourinhol na yeye jiwe lililo mkwaa mwalimu wake na yeye lika mkwaa pia nafkiri alikua bado ana notes zake ..

Mourinhol alinunua Lukaku Pauni 72 Milioni. Asee dili la uchizi kabisa bola hata ununue bigbom laki na lile la paul paun 100 Milioni mchezaji mpaka anachanganyikiwa ana deriver vipi hii thamani.

Akafeli nae kwa kujaza majibu ya mwalimu wake kwenye mtihani alio feli na wakafeli wote

Sasa tuko na Baby face Assassin ,the smilling killer ,mtaalam ,mume halali wa vikocha uchwara Guadiola na Lampard

Huyu jamaa kila anachofanya utadhani hua ananiuliza ndio anafanya ,,
Anachukua wachezaji kwa uhitaji na thamani halisi na wanaonesha
Yale majibu ya wakina mourinhol kaweka kando ana weka ya kwake na anatusua

Vuta picha bruno angenunuliwa ngapi kama angekua kocha Mourinhol wakati Fred alimnunua 54 millioni kutoka sharkter

Piga kazi bwana ole
Manchester united bingwa 2020-2021
IMG-20200630-WA0143.jpg
 
Nimesoma Para ya kwanza

Lakini nijuacho mimi mafanikio nje ya Uwanja (kwenye uchumi wa timu) yanaenda na mafanikio ndani ya uwanja

Acha tufurahie timu zetu kuingiza mkwanja mrefu, vivyo hivyo tutasikitika timu ikifilisika maana haitaweza kusajili wala kuwalipa wachezaji wenye kiwango cha juu
Inachekesha sana shabiki tena alie huku pembezoni mwa dunia kushabikia timu yake kwenye mafanikio ya uchumi

Faida inayopatikana kwenye pato la timu hakuna hata shabiki mmoja anae pata hata mia
Lakini linapo kuja suala kusajiri mchezaji kwa gharama kubwa alafa akaenda kua flop inauma ni kama ununue bofro lwa gharama za pizza

Wakati wa luiz van Gaal United tulikua tumesha timua moyes baada ya kutufedhehesha sana ..!

Muda ulikua unaenda lakini bado mashabiki na bodi ya timu walikua wanaishi kwenye ndoto za babu fergie

Tukakurupuka kusajiri udagaa kibao akiwemo bwana mdogo Martial kutoka monaco kwa dau la pauni 54 Million
Sikuipenda kabisa hili dili hata baadaa ya kuwaburuza liVARpool kwenye mechi yake ya kwanza ya ligi niliendelea kuamini hana thamani ile!

Japo mbele ya Fans wa ukawa sikuonesha rangi zangu halisi ..

RVG akafeli nae akatimuliwa na moja ya sababu ilikua ni kufeli kuendana na thamani halisi ya mchezaji kitu ambacho Ferguson na parter wale wenger walipata 100%

Akaja bwana mourinhol na yeye jiwe lililo mkwaa mwalimu wake na yeye lika mkwaa pia nafkiri alikua bado ana notes zake ..

Mourinhol alinunua Lukaku Pauni 72 Milioni. Asee dili la uchizi kabisa bola hata ununue bigbom laki na lile la paul paun 100 Milioni mchezaji mpaka anachanganyikiwa ana deriver vipi hii thamani.

Akafeli nae kwa kujaza majibu ya mwalimu wake kwenye mtihani alio feli na wakafeli wote

Sasa tuko na Baby face Assassin ,the smilling killer ,mtaalam ,mume halali wa vikocha uchwara Guadiola na Lampard

Huyu jamaa kila anachofanya utadhani hua ananiuliza ndio anafanya ,,
Anachukua wachezaji kwa uhitaji na thamani halisi na wanaonesha
Yale majibu ya wakina mourinhol kaweka kando ana weka ya kwake na anatusua

Vuta picha bruno angenunuliwa ngapi kama angekua kocha Mourinhol wakati Fred alimnunua 54 millioni kutoka sharkter

Piga kazi bwana ole
Manchester united bingwa 2020-2021View attachment 1493500
 
Goof
 
Back
Top Bottom