Ole Gunnar Solskjaer named Manchester United caretaker Manager

Ole Gunnar Solskjaer named Manchester United caretaker Manager

Na wewe una miaka mingapi? Man U ukiwa kocha usipochukua EPL miaka miwili mfululizo lazima uondoke, (Arsenal hawakuchukua miaka 18 na hawakufukuza kocha) TAFAKARI!!
Siyo mingi lakini lineup yangu ya awali ilikuwa na wachezaji kama Eric cantona,Paul ince,Ronny Johnsen, David may, Gary pallister, na wengineo. Kwa kifupi class of 92 nimeiona ikianza kuitumikia man u from scratch kina scholes,giggs,beckham,the Neville's,nick butt n.k. UPO?
 
Yeye na teddy waliingia kama sùb na wakapindua meza dakika 90 katika UEFA Final 1999 na kuchukua ndoo

Karibu tena Ole Gunner

GGMU
 
umejitahidi lakini bado sana


Hiyo 'O' isome kama oo ya kwenye too


Ule Gunnar Sulsæd
 
Back
Top Bottom