Kwa kukusaidia tu usije kutia aibu kwenye vibanda umiza huko uswahilini kwenu jina 'Solskjaer' hutamkwa 'Sosha' [emoji3]Jina lenyewe sijui ni la kikorea , kirusi , kibelgij !
Hivi huyu kocha wa nchi gani?
Umeanza kushabikia mpira lini?Jina lenyewe sijui ni la kikorea , kirusi , kibelgij !
Hivi huyu kocha wa nchi gani?
Ole Gunar na Teddy Sheringham.Mkuu humfahamu super sub ,maestro,Ole Gunner .Manchester utd lia lia .Uliwahi sikia man u alipotwaa uefa 1999 in sub zipi zilizopindua matokeo kwa Bayern? Chaa
U are very rightThe baby faced assassin!
Siyo mingi lakini lineup yangu ya awali ilikuwa na wachezaji kama Eric cantona,Paul ince,Ronny Johnsen, David may, Gary pallister, na wengineo. Kwa kifupi class of 92 nimeiona ikianza kuitumikia man u from scratch kina scholes,giggs,beckham,the Neville's,nick butt n.k. UPO?Na wewe una miaka mingapi? Man U ukiwa kocha usipochukua EPL miaka miwili mfululizo lazima uondoke, (Arsenal hawakuchukua miaka 18 na hawakufukuza kocha) TAFAKARI!!
Anaitwa(in Swahili) Oleguna sosha.......kama humjui huyu basi ww na mpira wa dunia hii upo nao mbali sanaJina lenyewe sijui ni la kikorea , kirusi , kibelgij !
Hivi huyu kocha wa nchi gani?
Nioneshe kocha ambaye hajawahi kutimuliwa.Hakuna kocha hapo, alishafundisha Cardif akatimuliwa
Alitimuliwa baada ya vipigo mfululizo, Pep alitimuliwa wpNioneshe kocha ambaye hajawahi kutimuliwa.
Barca au hukuwepo mkuu?Alitimuliwa baada ya vipigo mfululizo, Pep alitimuliwa wp
Huku kuna muuwaji mwingine anae cheka (Dwight Yorke )ilikuwa khatari sana pana mechi nadhani ilikuwa na Nottingham forest kaingia dakika ya sabini na kupiga bao zake nne SafiThe baby faced assassin!
Norway, una miaka mingapi?
Norway ilkuwa inatosha sana kujib, habari ya kuuliza miaka haina maana, ila kama wewe ni nesi ni sawa. Maana manesi lazma waulize miaka ya patient!
Kimtindo kama kina chicharito ... Muda mwingi yupo benchi akiingia tu anakuweka...Mkuu humfahamu super sub ,maestro,Ole Gunner .Manchester utd lia lia .Uliwahi sikia man u alipotwaa uefa 1999 in sub zipi zilizopindua matokeo kwa Bayern? Chaa
mnazi wa Liverpool anaaminiwa kupewa ukocha Man United?
ajabu la 8!!
HahahaaSawa,hapa tutajua kua tatizo lilikua ni Mourinho au wachezaji?