Ole Millya umerudi CCM au umehamia CCM?

Ole Millya umerudi CCM au umehamia CCM?

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
4,445
Reaction score
4,707
Nimemsikia Bw. Ole Millya akitabanaisha sababu za kuhamia CCM moja ni kuwahudumia Wananchi.

Binafsi hiyo sio sababu kwani hata bila chama unaweza kuwahudumia wananchi.Pili sikubaliani nae kuwa Kahamia CCM naamini kuwa Karudi CCM asipotoshe Umma na sababu ya kurudi CCM wote tunajua.
 
Mkopo aliochukua na kushindwa kulipa kwa wakati ndiyo sababu ya Millya kurudi CCM full stop.
 
Back
Top Bottom