Ole Mushi ampinga vikali Chongolo, asema Katiba Mpya si mali ya chama chochote ni mali ya wananchi

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610

Picha: Kushoto ni Chongolo, kulia ni Thadei Ole Mushi

Katiba mpya si mali ya chama chochote ni mali ya wananchi. Na katiba mpya si utashi wa chama kipi kitupatie ni takwa la wananchi kama wakiitaka lazima ipatikane."

"Ni makosa vyama vya siasa kuhodhi mchakato huo na kusema bila sisi katiba mpya haiwezi kupatikana. Hakuna chama chenye mamlaka ya kuamua katiba mpya iweje. Mamlaka hiyo ni ya wananchi."

"Tatizo viongozi wetu wa CCM wanaona bado watu wamelala kule kwenye miaka ya giza. Lazima watofautishe wananchi alioongoza Nyerere na wananchi wa sasa" Thadei Ole Mushi, Kada wa CCM.

Your browser is not able to display this video.
 
Idealist verses realist: Kiaidia Ole Mushi yupo sahihi ila kiuhalisia kwa nchi hii, Chongolo yupo sahihi kabisa.
 
Au ndiyo maana Thadei Ole Mushi haonekani siku hizi??
 
Ahamie upande mwingine Ili apinge vizuri vinginevyo analeta chokochoko ndani ya chama maana anakuwa na msimamo wa wopinzani ndani ya chama chenye msimamo tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…