Ole Sabaya asomewa mashtaka mapya 5 ya uhujumu uchumi. Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha yapewa mamlaka kusikiliza kesi

Hakimu ni yuleyule maalumu ,aliye Toka Geita,kaja kupiga Kambi huko,kwa ajili ya Kesi inayosubiri hukumu 01.October,2021?
 
Lakini si alikuwa baraka za mkuu wa nchi, gavana wa bank kuu na waziri wa fedha ambae sasa ni makamo wa raisi kufanya hayo aliyofanya kama ilivyokuwa madai yake?
 
Sabaya inatakiwa anyongwe hazalani, alikuwa kiburi karibia kwa viongozi wote wakuu kipindi Cha mwendazake, yeye aliyekuwa anamuheshimu ni magufuli tu ,
 
Things are getting tough....
 
Endeleeni na kumtesa kijana wa magufuli kwa kuendekeza visasi vya mabwanyenye ya kimachame. Mumeona tuhuma za awali atashinda na hata haya mapya atachomoa labda mumfunge tu maana mafisadi ndio wamekalia kiti kwa sasa.
 
Ile kesi nyingine iliisha inasubiri hukumu.

Hii kesi ya leo ni mpyaaaa kabisa, nayo itaenda itaisha itasubiri hukumu.

Zitakuja nyingine nyingi hadi za ubakaji...

Dogo ana miaka 34 ukijumlisha miaka 30 atatoka na 64.
Wangeziunga zote iwe kesi moja UGAIDI kuokoa pesa na mda.
 
SUKUMA GANG wanaamini Mtessi Sabaya anaonewwa.
 
Reactions: Qwy
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…