Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo halijabadilika ila kuna mashtaka mapya na akiyamaliza anapelekwa Moshi akakabiliane na mashata mengine, goma ndiyo kwanza limeanza.Kwa kweli! Mbona kama tuliambiwa utetezi/ushahidi ulikamilika na tunasubiri hukumu tarehe 1 Oktaba. Imekuwaje tena?
Mdogo mdogo tu mwishowe zote zitafika mezani.Hizo kesi bila zile za ubakaji na ulawiti kuunganishwa zitakuwa kazi bure