Ole Sabaya: Doa jeusi kwa utawala wa Hayati Magufuli

Ni kweli mkuu.
Hili tukio la Sabaya ni failure of the checks and balance within the State.

As a democracy we stooped too low!

CCM ilifeli kucheck excesses za Mwenyekiti wake, si vizuri hili likajirudia in future.
CCM kama chama, ikishindwa kulidadavua hili, juu ya mapungufu ya Mwenyekiti wake, litaleta shida siku za usoni.
Tunajua kuna wafuasi wengi waliopandikizwa na Magufuli kwenye Dola, lakini Mama Samia aende taratibu kuondoa sumu zilizopandikizwa.
Siyo bure kuwa Rsis sasa anafanya ziara Kilimanjaro na Arusha.
Ni hatua nzuri.
 
Aliyekwenda angekuwepo leo hii Sabaya angekuwa mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro/DSM/Dodoma/Arusha, na kila siku angekuwa anamwagiwa masifa kuwa ni mchapakazi na mzalendo!! Hawa watu wanaopenda kujiita wazalendo wa kuogopa sana
Kila tulipokuwa tukisema mlikuwa mnaimba mapambio ya uzalendo.

Nyie uvccm mavi kabisa
 
Utawala wa Magufuli ulijaa mashetani wengi sana chini ya shetani mkuu
 
Ziara ya Rais Samia Kilimanjaro na Mapokezi Arusha yamefana sana. Watu wanajitokeza kwa wingi kwenye mikutano na pote anasimama, wana hamasa kubwa, wanaonyesha imani kubwa kwa Rais, Upendo mwingi, matumaini na namna anawaongoza, wengi wanakiri na kukubali Mama anafanya Makubwa!
 
Ni kweli.
Ziara ya mama Samia ni kurudisha imani ya wananchi kwa Dola ambayo ilichafuliwa sana na watu kamaDC Sabaýa, mitaa hiyo.
 
Mpaka mwaka unaisha Bavicha wwtakuwa wanajadili tu ishu ya sabaya
BAVICHA wanaendelea na makongamano ya katiba nchi nzima wakati huo nyinyi uvccm mkiendelea kuteketea kwa uhalifu. eg Sabaya, Hamza na nyinyi ambao kazi yenu kubinua makalio kwenye mikutano ya chama
 
BAVICHA wanaendelea na makongamano ya katiba nchi nzima wakati huo nyinyi uvccm mkiendelea kuteketea kwa uhalifu. eg Sabaya, Hamza na nyinyi ambao kazi yenu kubinua makalio kwenye mikutano ya chama
Umepanic manka
 
Upo nchi gani broo! Sisi huku tz akifanya vizuri mteuliwa wa raisi sifa zinaenda kwa raisi ila akifanya vibaya sifa mbaya zinaenda kwake mwenyewe
 
Hii kesi inakwenda kuwavua nguo kama ile ya Akwilina. Hakuna mtanzania hata mmoja including hao waendesha mashtaka wa serikali anayeamini kuwa Mbowe ni gaidi. Huu uongo labda mkausemee kule Sudani
 
CCM isijiume ume maneno kwa sasa.
Ikiri makosa na kuhakikisha tuliyoyaona ya Sabaya, ujambazi wa kiongozi wa Dola, hayatokei tena na kufumbiwa macho.
Mbele ya macho ya wananchi CCM haikufanya vile wananchi wanavyotarajia.
 
CCM isijiume ume maneno kwa sasa.
Ikiri makosa na kuhakikisha tuliyoyaona ya Sabaya, ujambazi wa kiongizi wa Dola, hayatokei tena na kufumbiwa macho.
Mbeke ya machi ya wananchi CCM haikufanya vile wananchi wanavyotarajia.
Vijana tiifu wa ccm wanakuwa convicted kwa robbery na ccm wako kimya kama hakijatokea kitu.

Watoke wawaombe radhi watanzania basi.

Hata aibu hawana ?
 
Aliyekwenda angekuwepo leo hii Sabaya angekuwa mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro/DSM/Dodoma/Arusha, na kila siku angekuwa anamwagiwa masifa kuwa ni mchapakazi na mzalendo!! Hawa watu wanaopenda kujiita wazalendo wa kuogopa sana
Wabaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…