johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wape salamu na waliokwamia awamu iliyopita.Tunakumbushana tu kwamba kutenguliwa, kutumbuliwa na kusimamishwa siyo jambo jipya kwa viongozi wetu wa kisiasa.
Niseme tu CCM ni lazima waendelee kuwa wamoja huyu Ole sabaya siyo wa kwanza na hatakuwa wa mwisho kutumbuliwa.
Nakumbuka yule DAS wa Kisarawe alipotumbuliwa na hayati Magufuli kwenye mkutano wa hadhara Chadema walishangilia sana lakini hakuna mwanaccm aliyedai Magufuli ameamua kuwafurahisha wapinzani.
Katika siasa kuna nyakati za kuvheka na nyakati za kulia.
Tuwe wavumilivu.
Eid Mubarak!
umeanza kujirudi sasaTunakumbushana tu kwamba kutenguliwa, kutumbuliwa na kusimamishwa siyo jambo jipya kwa viongozi wetu wa kisiasa.
Niseme tu CCM ni lazima waendelee kuwa wamoja huyu Ole sabaya siyo wa kwanza na hatakuwa wa mwisho kutumbuliwa.
Nakumbuka yule DAS wa Kisarawe alipotumbuliwa na hayati Magufuli kwenye mkutano wa hadhara Chadema walishangilia sana lakini hakuna mwanaccm aliyedai Magufuli ameamua kuwafurahisha wapinzani.
Katika siasa kuna nyakati za kuvheka na nyakati za kulia.
Tuwe wavumilivu.
Eid Mubarak!
Hebu tulia sasa, pumzika na Watoto na simu nayo ipumzike!Tunakumbushana tu kwamba kutenguliwa, kutumbuliwa na kusimamishwa siyo jambo jipya kwa viongozi wetu wa kisiasa.
Niseme tu CCM ni lazima waendelee kuwa wamoja huyu Ole sabaya siyo wa kwanza na hatakuwa wa mwisho kutumbuliwa.
Nakumbuka yule DAS wa Kisarawe alipotumbuliwa na hayati Magufuli kwenye mkutano wa hadhara Chadema walishangilia sana lakini hakuna mwanaccm aliyedai Magufuli ameamua kuwafurahisha wapinzani.
Katika siasa kuna nyakati za kuvheka na nyakati za kulia.
Tuwe wavumilivu.
Eid Mubarak!
Fact kabisaTunakumbushana tu kwamba kutenguliwa, kutumbuliwa na kusimamishwa siyo jambo jipya kwa viongozi wetu wa kisiasa.
Niseme tu CCM ni lazima waendelee kuwa wamoja huyu Ole sabaya siyo wa kwanza na hatakuwa wa mwisho kutumbuliwa.
Nakumbuka yule DAS wa Kisarawe alipotumbuliwa na hayati Magufuli kwenye mkutano wa hadhara Chadema walishangilia sana lakini hakuna mwanaccm aliyedai Magufuli ameamua kuwafurahisha wapinzani.
Katika siasa kuna nyakati za kuvheka na nyakati za kulia.
Tuwe wavumilivu.
Eid Mubarak!
Kuwa mvumilivu bwashee!umeanza kujirudi sasa
Alikula mali ya mkubwa jamaa alikuwa na hasira nae kweli 😃Kosa la DAS ni nn