Ole Sabaya leo ndiyo unajua mpaka Kukiri kuwa 'Jela' siyo mahala pazuri? Na hapo bado huenda 'Ukaozea' huko kabisa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kila Siku tu unashauriwa na Watu 'Maalum' kuwa pale ukiwa unaenda Mahakamani ikitokea Umep;angua Kesi fulani basi 'Body Language' yako isiwe ni ya Kuonyesha kama Ujeuri na Ujivuni kwani ndilo ambalo linakugharimu ila kwa Upopoma (Upumbavu) wako na Kiburi chako unajifanya Gangwe.

Halafu acha kabisa kila mara kusema kwa Watu ulionao karibu huko huko Jela uliko ambao baadhi yao nao ni Watu 'Maalum' kuwa ukifanikiwa kutoka Huru 'Watakukoma' kwani Kauli kama hii ndiyol imewaibua unaotaka 'Kuwakomesha' kama utafanikiwa kutoka nao waendelee 'Kukukazia' hadi Unalia lia hivi sasa.

Halafu Wewe Sabaya ni Bwege kweli yaani leo ndiyo unajua kuwa Jela huko uliko siko Kuzuri? Hivi siyo Wewe uliyekuwa 'Ukiwasweka' ndani Watanzania (tena Wanasiasa wa CHADEMA) na wale waliokuwa Wakikunyima Fedha na wengine hadi ukawa unawafanyia yasiyotakiwa na Mwenyezi Mungu na nadhani hata Shetani mwenyewe?

Kuna Ndugu yako Mmoja ameshapewa Maelekezo na Watu 'Maalum' uyatekeleze Utoke ila unajifanya Wewe ni Mpalestina sasa ngoja Waisraeli wakunyooshe Vizuri ili ujifunze na huko huko ulliko na utakapokuwepo kwa miaka mingine 150 ijayo uwe Mwalimu kwa Wafungwa waliopo na watakaokukuta Wewe Mfungwa Mwandamizi.

Hovyo kabisa Wewe.
 
Ana laana ya mama Anna Mghwira, bado amekuwa na shingo ngumu, dola iendelee kum-deconstruct, apoe,aonyeshe majuto, halafu atoke bila ushujaa, yeye anataka aonyeshe kwamba atatoka kwa ushujaa, wakati sio lengo la criminal justice, na wenye mamlaka ya criminal justice hawapendi hilo.

Shingo ngumu aliyonayo ni kama Ile aliyokuwa nayo mwendazake aliikataa corona kama Farao alivyokataa kuwaruhusu Wana wa Israel waondoke, hatimaye shingo baada ya kukaza sana ikavunjika(akafa)
 
Umemaliza kila Kitu Mkuu heko ( hongera ) sana.
 
Kwani kila uzi ulazima utumie popoma mkuu, kuwa na staha katika lugha, mtembelee Sky Eclat ujifunze lugha nyepesi zenye ujumbe kwa jamii
Kwa hiyo unataka Genius GENTAMYCINE awe kama Sky Eclat! Mbona hawa ni watu wawili tofauti! Yaani alete nyuzi humu jukwaani kwa lugha nyepesi na laini, huku akitubembeleza na kuturembulia macho 🙄 ili wajumbe tuchangie! Hilo sahau.

Wewe jitahidi tu kumzoea kama sisi wenzako. Ila usitegemee mabadiliko yoyote kutoka kwa huyu mwamba.
 
Kwa hiyo unataka Genius GENTAMYCINE awe kama Sky Eclat! Mbona hawa ni watu wawili tofauti! Yaani alete nyuzi humu jukwaani kwa lugja nyepesi na laini, huku akitubembeleza na kuturembulia macho 🙄 ili wajumbe tuchangie! Hilo sahau.

Wewe jitahidi tu kumzoea kama sisi wenzako. Ila usitegemee mabadiliko yoyote kutoka kwa huyu mwamba.
Huyu jamaa anafikiri GENTAMYCINE ni mtutsi wa mchongo
 
Kila Siku tu unashauriwa na Watu 'Maalum' kuwa pale ukiwa unaenda Mahakamani ikitokea Umep;angua Kesi fulani basi 'Body Language' yako isiwe ni ya Kuonyesha kama Ujeuri na Ujivuni kwani ndilo ambalo linakugharimu ila kwa Upopoma (Upumbavu) wako na Kiburi chako unajifanya Gangwe.

Halafu acha kabisa kila mara kusema kwa Watu ulionao karibu huko huko Jela uliko ambao baadhi yao nao ni Watu 'Maalum' kuwa ukifanikiwa kutoka Huru 'Watakukoma' kwani Kauli kama hii ndiyol imewaibua unaotaka 'Kuwakomesha' kama utafanikiwa kutoka nao waendelee 'Kukukazia' hadi Unalia lia hivi sasa.

Halafu Wewe Sabaya ni Bwege kweli yaani leo ndiyo unajua kuwa Jela huko uliko siko Kuzuri? Hivi siyo Wewe uliyekuwa 'Ukiwasweka' ndani Watanzania (tena Wanasiasa wa CHADEMA) na wale waliokuwa Wakikunyima Fedha na wengine hadi ukawa unawafanyia yasiyotakiwa na Mwenyezi Mungu na nadhani hata Shetani mwenyewe?

Kuna Ndugu yako Mmoja ameshapewa Maelekezo na Watu 'Maalum' uyatekeleze Utoke ila unajifanya Wewe ni Mpalestina sasa ngoja Waisraeli wakunyooshe Vizuri ili ujifunze na huko huko ulliko na utakapokuwepo kwa miaka mingine 150 ijayo uwe Mwalimu kwa Wafungwa waliopo na watakaokukuta Wewe Mfungwa Mwandamizi.

Hovyo kabisa Wewe.
alikua hajui ule msemo wa "KARMA IS A BITCH"kila siku nasisitiza humu jukwaani, tusipende kufanyiana ubaya katika maisha!hakuna ajuaye kesho yake!lkn mapopoma mengi hayasikii
 
Back
Top Bottom