Ole Sabaya na wenzake wakutwa na kesi ya kujibu kwenye mashtaka ya Uhujumu Uchumi

Eti Kesi za kipuuzi,kumpora mtu wa watu ml.90 ni Kesi ya kipuuzi!!!hiyo ni akili au matope!!!hii Kesi atagongwa tena miaka kadhaa Jela,na wakati HuoHuo bado ana Kesi nyingine zinamsubiri,Always What Goes Around Comes Around
 
Enzi za biashara ya utumwa, hizi mbwa kama sabaya, wazazi walikuwa wanauza, kuondoa aibu kwenye familia.
 
Mkuu unajitambua kweli mpaka unaandika hivi
 
Kwa maandishi yako wewe ndo mnyama na usiye na ufahamu hata kidogo. Nchi inaendeshwa kwa mujibu wa sheria na si huruma, kama ana haki ataipata huko mahakamani.
 
Mahakama sio kanisa. Kila kesi ina hukumu yake hakuna hukumu inayo futa makosa yote hata ambayo hayajatajwa kimahakama
 
We kama.una chuki nae kivyako,upeo mi nakuajiri wewe nikitaka.
Nimesema kifungo alichopo atumikie sio kuendekeza safari za mahakamami kila siku.
 
We kama.una chuki nae kivyako,upeo mi nakuajiri wewe nikitaka.
Nimesema kifungo alichopo atumikie sio kuendekeza safari za mahakamami kila siku.
Pole nawapa wazazi wako then nakupuuza, bye.
 
Kesi juu ya kesi, iwe fundisho kwa chawa wote wanaoujua kujikombabkwa wakuu wao na kuvuka mipaka yao ya kazi!!
Kuna tetesi kwamba hii kesi ni kanya boya. Wana fumba watu macho. Ata tokea mbele kwa mbele. Tusubiri kesi aliyo kata rufaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…