JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Hukumu ya kesi moja haifuti tuhuma za kesi nyingine.Kashahukumiwa miaka 30,kesi gani tena za kipuuzi km hizo zinaendelea?si atumikie kifungo tu.
Huu ni upumbavu kukaa tunajadili upuuzi wa mtu aliyefungwa.
Kashafungwa otherwise mumuachie mumuhukumu tena.
Huu ni uonevu.
Nchi ni yetu sote,
Hamna binadamu yuko sawa mnamtesa mtu kijingajinga tu.
Kama Sabaya alikosea si anaonywa na adhabu aliyopata inatosha.
Nyie watu mnaishi kama wanyama aisee.