Ole Sabaya: Rais Samia atatuvusha

Mbona mabaa huonekani na wale mabaunsa wake
 
Huyu mtu anawalipa kiasi gani? Halafu heri angetulia tu, kwa akili ya kawaida kabisa hakuna RC au DC anayedemka kama yeye, hii inadhihirisha kabisa anatumia nguvu kujisafisha.

Akipona achinje nanihii zake.
 
Ameenda kujisafisha na kujipendekeza
Mama ameshasema kama huna maadili hakutaki

U DC Sabaya,Kasesela na Muro andikeni BIG NO
 
Kubwa la ma jambazi ya ccm.
 
Machame imetulia sasa
Naunga mkono na mkazi wa Machame analijua hiyo, Kijana wetu piga kazi. Turekebishie Wilaya yetu.

Kwa hili la Sabaya watu wa Machame na Kibosho tumeungana.Ujumbe wa wazee kutoka Barangata, Nkweseko,Kyeeri, Mamba, Uswaa,Narumu, Uroki, Lyamungo Sinde, Nshara na Jirani zetu kutoka Umbwe, tutamuona Mama kesho asubuhi kusalimiana nae na kumpa pole ya kufiwa na Mzee Magufuli, Hai imetulia kama maji ya kutoka Mlimani. Wakazi wa Machame wenye kutaka kusalimiana na wazee wao tuwasiliane kupitia inbox.
 
Kipindi kile, wananchi walipokuwa wakilalamika utendaji wa mabavu wa huyu bwana hakuona haja ya kutafuta media kujisafisha maana yupo aliyekuwa anamtegemea, aliyemuweka, ambae alimuamini hawezi mtoa hapo labda ampandishe ngazi na kumpa kitengo kingine. Sasa hivi hayupo, hana backup yeyote, amekalia kuti kavu anahaha kujisafisha ili aonekane mwema aoenewe huruma. Kibaya story haijawa balanced maana wananchi na wafanyabiashara wote walioumizwa na yeye hatujaona wakiitwa kufanyiwa mahojiano.
Mnakumbuka kauli za Kheri James[emoji4] naye aliitisha Press kuomba radhi.
Sasa why watoke toke kujisafisha sasa hivi[emoji16], umuhimu wa kuita press au kusafiri kuja DAR Kuhojiwa unaonekana sasa hivi, kwa maslahi ya nani!? Nchi hii
 
Haahaa Jpm kajigalagaza mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…