M Mbejhe1 Senior Member Joined Nov 10, 2020 Posts 160 Reaction score 86 Mar 29, 2021 #141 Ni Jambazi kwasababu alizuia Wizi wa Kura uliopangwa kufanywa na kikundi cha Kihuni cha Mbowe Aikael. Swet-R said: Jambazi namba moja oOe Sabaya. Ingekuwa tunafuata kwa umakini utawala wa sheria, huyu katika list ya watu wa mwanzo mwanzo kutimuliwa na kupelekwa mahakamani ilikuwa huyu ole sabaya. Inatakiwa asiruhusiwe hata kugombea nyumba kumi Click to expand...
Ni Jambazi kwasababu alizuia Wizi wa Kura uliopangwa kufanywa na kikundi cha Kihuni cha Mbowe Aikael. Swet-R said: Jambazi namba moja oOe Sabaya. Ingekuwa tunafuata kwa umakini utawala wa sheria, huyu katika list ya watu wa mwanzo mwanzo kutimuliwa na kupelekwa mahakamani ilikuwa huyu ole sabaya. Inatakiwa asiruhusiwe hata kugombea nyumba kumi Click to expand...