Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli hili bunge maalumu litatupa nafasi ya kuwafahamu wanafiki wote, ila tu mkuu weka picha inayoonyesha analia ili niweze kurusha mawe ya kutosha kumliza vizuri.mara baada ya mbunge mmoja kusimama na kumuomba Mwenyekiti wa Bunge Pandu Ameir Kificho awatake watendaji wake wagawe vikaratasi vya kura ili ipigwe kura ya siri wachaguwe aidha siri au wazi na kuondokana na kanuni hizo zilizodumumu takriban siku kadhaa bila ya kupatiwa ufumbuzi na wajumbe wengi kuunga mkono. Mh Ole Sendeka ameonyeshwa na kamera za bungeni akiwa amebeba mafail yake na kutoka nje ya ukumbi wa bunge huku akifuta futa machoz.
Kama ni kweli hilo unalolisema huyo atakuwa na matatizo yake tu ya kifamilia...alishindwa kulia wakati wezi wa Epa ,Richmond na sasa IPTL analia kuhusu kura za siri.Halafu kwamuda wamiaka 26 ya kukaa karibu na watu wa kabila hili sija wahi kuona mmasai mwanaume anayelialia ovyo kama nikweli basi itabidi tumripoti kwa wakuu wake wa Mila nadhani LEIGWANANI MKUU NI LOWASA kwamba anaaibisha watu warika lake wake kwa hiyo aitwe apewe kale kaadhabu ka kupelekwa mtoni na kutandikwa fimbo sabini kamtembeleee kumkumbusha mafunzo ya Jandoni na umuhimu wa ukakamavu kama mkuu wa familia.
Na kwa uzembe huu kwa sababu amewahi kuwa kiongozi wa UKWATA anastahili adhabu ya kibiblia ambayo kama sikosei vi viboko 39
..
=> OLE SENDEKA....very arrogant....most laziest
person....a purely puppet....
=> His academic background is full of shame....
FORM 6...he got DIV 0.....
=> Thru his poorly minded head....ANAFIKIRI WATU
NI WAJINGA KAMA WAMASAI....coz wamasai
wengi wako bado gizani... yeye na tumbo lake
la uzembe....of which mmasai mwenye tumbo
ni USELESS he thinks WATU WATAMUONA ana
uchungu na nchi hii...kumbe kihiyo mkubwa yule
Kazi kwel kweli......kinachomliza???anataka sifa