Ole Sendeka atoka kwenye Ukumbi wa Bunge kwenda kulilia nje

Huyu jamaa atakuwa mgonjwa mangapi makubwa yametokea lakini hakulia anamatatizo ya akili au anatafuta umaarufu huyu jamaa nilikuwa namuona abamaana sana kumbe kenge tu mtu mziima hovyo kabisa
 
Nashindwa kuelewa ni kwa nini viongozi wa ccm bara wanakosa ujasiri kama wenzao wa Zanzibar kuhusiana na suala la serikali tatu. Wazanzibari wako pamoja, Nahodha alithibitisha hilo kwenye kikao cha chama chao. Hawa wa bara wanaendeleza unafiki tu kujifanya eanapenda sana muungano kumbe hawautakii mema.
 
..
=> OLE SENDEKA....very arrogant....most laziest
person....a purely puppet....
=> His academic background is full of shame....
FORM 6...he got DIV 0.....
=> Thru his poorly minded head....ANAFIKIRI WATU
NI WAJINGA KAMA WAMASAI....coz wamasai
wengi wako bado gizani... yeye na tumbo lake
la uzembe....of which mmasai mwenye tumbo
ni USELESS he thinks WATU WATAMUONA ana
uchungu na nchi hii...kumbe kihiyo mkubwa yule
 
kweli hili bunge maalumu litatupa nafasi ya kuwafahamu wanafiki wote, ila tu mkuu weka picha inayoonyesha analia ili niweze kurusha mawe ya kutosha kumliza vizuri.
 

Hilo lijamaa lenye kitambi, lazima litakuwa Rayoni. Halijaenda jando.
 

We boya sana, qumalammamae sana...kisa ku generalize wamasai wote ni nn mngese mkubwa ww. Nani kakudanganya wamasai bado wapo gizani? Je wamasai ndo wamemtuma sendeka kuongea upuuzi huo au kulialia mbele za watu? Huo ni udhaifu na upuuzi wake binafsi lakini naamini kabisa kabila lile kwa kadri nijuavyo hawawezi kufanya kama alivyofanya sendeka!

Kwa hili la kuwaita wamasai wajinga, ni hivi; bora wao wajinga lakini ww ni m.p.u.m.b.a.v.u, mngese, mpuuzi na laana laamar laanuna kwa dhambi ya ubaguzi dhid ya wenzio nyambaf
 
anaabisha wamasai wenzake kama hajui,wamasai sio walafi kiasi hicho
 
Ni dalili nzuri,wasioweza kasi ya katiba mpya 2014 bora waende wakalime mashamba yao kuleeee.
 
Me ni mmasai lakini huyu mzee nahisi hakutahiriwa kimasai, yaani wenzake wanajenga hoja yeye analilia kura ya wazi? Mbwa mkubwa tena mbwa koko.


Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
Mbn kam ile barua ya wazi ya kakobe inafany kazi!ai kazi kwl kwl yn hawa viumbe cjawaelew ht kdg.
 
Mh watu wengine bhana shidda tupu. Sa mi ndo kwafano ni Papaa yng ukirud nitamcheka vibaya xna
 
Sio Yero huyo, tunawajuwa sana, huku kwetu wengi na tena miaka mingi na wameweza kuingia kuingiya katika jamii ya Kizanzibari kwa ujasiri na hekima hadi sasa wamekubaliwa sana. Dendeka atakuwa ameishiwa maarifa ya kutetea maamuzi ya chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…